Ushauri kununua gari used

Ushauri kununua gari used

Over the hedge

Senior Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
143
Reaction score
162
Habari za humu wakuu naombeni ushauri wenu kijana wenu nahitaji kununua gari used kwa mtu bajeti yangu ni 3M to 5M.
Gari ambazo nazifikiria ni
1.Toyota Mark II gx 110 cc 2000
2.Toyota passo cc 1300 au cc 1000
3.Nissan march cc 1300
4.Toyota vitz cc 1300 au cc 1000
5. Toyota starlet cc 1300
6. Toyota duet cc 1300

Naombeni ushauri nichague ipi kati ya hizo nipo sehemu ambapo kuna kipande kidogo cha rough road kama km 1 hiv then kwingine ni lami. Pia nitatenga 250k kama budget ya mafuta kwa mwezi.

Nakaribisha maoni yenu wadau

Passo
1666806332903.jpg

Nissan march
1666806234738.jpg

Toyota starlet
1666805965874.jpg

Toyota vitz
1666805794049.jpg

Toyota mark 2 grande gx110
1666805545063.jpg
 
Attachments

  • 1666806277742.jpg
    1666806277742.jpg
    57.9 KB · Views: 81
Habari za humu wakuu naombeni ushauri wenu kijana wenu nahitaji kununua gari used kwa mtu bajeti yangu ni 3M to 5M.
Gari ambazo nazifikiria ni
1.Toyota Mark II gx 110 cc 2000
2.Toyota passo cc 1300 au cc 1000
3.Nissan march cc 1300
4.Toyota vitz cc 1300 au cc 1000
5. Toyota starlet cc 1300
6. Toyota duet cc 1300

Naombeni ushauri nichague ipi kati ya hizo nipo sehemu ambapo kuna kipande kidogo cha rough road kama km 1 hiv then kwingine ni lami. Pia nitatenga 250k kama budget ya mafuta kwa mwezi.

Nakaribisha maoni yenu wadau

Passo
View attachment 2398701

Nissan march
View attachment 2398703

Toyota starlet
View attachment 2398704

Toyota vitz
View attachment 2398705

Toyota mark 2 grande gx110
View attachment 2398706
Kama unajiweza weza...chukua GX 110 walau upate ladha ya gari. Ina almost kila kitu..kuanzia raha mpk perfomance. Kila la heri
 
Kama unajiweza kwnye mafuta chukua mnyama gx 1Ten ila kama mwenzangu na mie chukua vits hapo.
 
Kwahiyo budget chukua Vitz ...hizo laki mbili na nusu kwa mwezi utapata na service hapo hapo
 
Back
Top Bottom