Ushauri- kushtaki daktari mzembe

Ushauri- kushtaki daktari mzembe

zeus

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
213
Reaction score
55
wataalam wa sheria naombeni mnijuze jinsi ya kumchukulia hatua daktari aliyesabisha kifo cha mgonjwa kwa uzembe
yaani mgonjwa mahututi anapaswa kupewa dawa (morphin) alafu hajampa hiyo dawa kwa wiki nzima, na pia kumtelekeza..
naweza kumlalalmikia wapi kwenye chombo gani tafauti na mahakama, awajibishwe? kuna sheria ya kushtaki madaktari hawa wazembe?
 
Hiyo dawa ilikuwepo, na je mgonjwa alikuwa na conditions ipi coz si kila mgonjwa aliye serious basi apewe morphine.
Nafikiri kama alikuwa na makosa na hutaki umpeleke mahakamani basi kamshitaki kwa mganga mfawidhi wa hospital husika
 
kesi hizo huwa ngumu sana ndugu yangu laba kama siyo bongo. J e wewe unaufahamu wa uganga huo (are you dr or something like Dr). na kwa nini hutaki mahamani ambapo ndo sheria inapatikana?
 
mkuu sijasema sitaki mahakamani na kama sitaki kwenda huko haizuii wewe kunishauri..
tulilipia apewe hiyo dawa na huduma zingine na hakupewa, kwa sababu ya uzembe, hakupata care, hizo ndizo facts. sasa ukiniuliza kwa nini alikuwa mzembe siwezi kujua..issue hapa ni uzembe
 
Wala usijisumbue sana, Labda kama wewe ni Dr au Unandugu yako mwenye taaluma ya udaktari.Anayeweza ku establish kuwa daktari ni mzembe ni watu wenye taaluma hiyo Na nafahamu pia wanalindana sana.Unaweza ukapewa lundo la misamiati ya kitabibu juu ya kifo cha mgonjwa ambayo hutakaa uelewe.Kwa nchi masikini kama TZ kumshitaki daktari unaitaji kuwa na knguvu au influence kubwa sana.Wanalindanaga hao.Kuna ndugu yangu mtito wake alipata ulemavu wa mkono kwa uzembe wa nesi ambao wenzake walikiri.ndugu wakafatilia wakachemsha.
 
du! mkuu yaani nisijisumbue? niridhike tu na makosa yao? sasa lini hali iabadilika watu wasipokumbushwa uwajibikaji?
 
du! mkuu yaani nisijisumbue? niridhike tu na makosa yao? sasa lini hali iabadilika watu wasipokumbushwa uwajibikaji?

mkuu hapo umechemsha,..we unajua kazi ya morphine? indications zake? contraindications? morphine ni pain killer tu bro..siyo tiba ya ugonjwa wowote..na kwasababu mgonjwa wako anaumwa sana na unampenda.. haimaanishi lazima apewe morphine! morphine ni kama ile heroine mateja wanayojidunga..siyo tiba..ni kisindikizio ukiwa unakaribia kufa au una maumivu makali sana..pole sana kama ulikuwa unahisi angepona labda kama angepewa morphine..pole sana
 
soma thredi uelewe, sio kukurupuka....dhana ya JF ni kuchangia maoni kama una ufahamu kuhusu topiki unayochangia. issue hapa ni sheria inasemaje kuhusu medical negligence, iwe imetokea kwa namna moja au nyingine. sasa kama mofine ni pain kila au wateva, hiyo sio ishu....na by the way fahamu pia kuwa mofine ipo na variants zake. Kama huna jipya la kushauri sio lazima uchangie, isshu hapa sio adverse effects za dawa, bali hiyo uzembe wa kutotimiza wajibu unaopaswa kisheria....kutomhudumia mgonjwa....na kusababisha madhara ( mf mgonjwa kufa). Learn to think first...
 
we pimbi hata ujui kazi ya morphine unakurupuka tu..we si ungempa mwenyewe..we unadhani mtu anapewa pewa tu vitu kwasababu unajua huwa ni kawaida tuu mtu kila mtu lazma apewe morphine hali ikiwa mbaya..wewe siyo daktari na hujui lolote..hata ukienda mahakamani kwa hilo sikudanganyi hutakaa ushinde..
 
Back
Top Bottom