zeus
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 213
- 55
wataalam wa sheria naombeni mnijuze jinsi ya kumchukulia hatua daktari aliyesabisha kifo cha mgonjwa kwa uzembe
yaani mgonjwa mahututi anapaswa kupewa dawa (morphin) alafu hajampa hiyo dawa kwa wiki nzima, na pia kumtelekeza..
naweza kumlalalmikia wapi kwenye chombo gani tafauti na mahakama, awajibishwe? kuna sheria ya kushtaki madaktari hawa wazembe?