Ushauri: Kutokwa na usaa kwenye uume

Ushauri: Kutokwa na usaa kwenye uume

PAPEPI

Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
8
Reaction score
6
Huwa ninatokwa na usaa kwenye uume na kusikia maumivu wakati wa kukojoa.

Naombeni ushauri unitumie dawa gani ili nipone?
 
Mkuu nadhani una UTI nenda kituo kilichopo karibu watakupima utapew dozi ya ugonjwa wako
 
Huwa ninatokwa na usaa kwenye uume na kusikia maumivu wakati wa kukojoa.

Naombeni ushauri unitumie dawa gani ili nipone?
STI mkuu, thibitisha tu kwa kupima, upate tiba.
 
Mkuu gono hilo kuna jamaa aliwahi sema humu tafuta bwana mifugo akudunge sindano unapona siku moja tu
 
Hio ni dalili ya ugonjwa wa zinaa wahi hospitali unatibika huo.
 
Back
Top Bottom