Ushauri kwa Azam FC

Mwaipaja ima

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
404
Reaction score
76
Ondoa viongozi wote ambao ni wa Tz kwenye timu yako ya mpira na utangaze nafasi za kazi kwa wataalamu wa mpira kutoka nje ya Tanzania,ikiwa kweli kama unania ya hapo baadae kuwa na timu bora africa na duniani,umeonyesha nia ila viongozi wa timu ambao ni wa tz wanakuangusha,

Naamini uwezo unao wa kutenda haya
 
Hii nayo haina tofauti na akina simba na mwenzake yanga. Ushauri uliotoa ni mzuri lakini kubwa ni kubadili mfumo mzima wa soka letu.
 
Nimekuelewa nitaanza kutangaza ksh nafac za kazi mbalimbalia
 
Duh huku ni kuwadhalilisha watanzania wenye taaluma ya michezo.
Hao wanaotoka nje wameleta nini kipya?
Baadae mtashauri na viongozi wa TFF watoke nje.
 
Yeah aondoe "uswahili" ....atafute skilled na management yenye uwezo....sio unamtoa mtu kutoka Livingstone Ice cream unamfanya meneja wa timu....au mtangazaji wa kipindi cha michezo kuwa PR officer bila kuzingatia elimu na weledi9
 
Duh huku ni kuwadhalilisha watanzania wenye taaluma ya michezo.
Hao wanaotoka nje wameleta nini kipya?
Baadae mtashauri na viongozi wa TFF watoke nje.

wala hawadhalilishi, kama watu waendeleza na mapenzi na timu nyingine na hiyo wanayofanyi kazi wanini kuwa nao..!? ajili wacongo,waghana,mali,cameroon,wafaransa..... na hakitoka hapo angie kwenye kuwashawishi kichefuchefu waweke sheria ya kununua wachezaji wowote wa kigeni na wacheze wowote wale.ili aje kuondoa na wachezaji wa kibongo wenyemapenzi na timu nyingine.
 

Lakini kama hata mwenye timu naye ni mpenzi wa mojawapo ya time hizohizo, itakuwaje? JK aloyajua haya, akawaonya wasiwe kivuli cha mojawapo ya timu kongwe mbili hapa nchini. Maana yake ilikuwa ndiyo hiyo unayoieleza.
 
Atatumia hela nyingi za bure wakati ligi yenyewe haina hela
 
ajili wataalam wa mpira wa nje kama ulivyoajili kwenye viwanda vyako achana na wabongo wenye ushabiki wa usimba na uyanga
 
ajili wataalam wa mpira wa nje kama ulivyoajili kwenye viwanda vyako achana na wabongo wenye ushabiki wa usimba na uyanga
Umesahau kama hata huyo mwenyewe ana kadi ya uanachama wa timu ya SIMBA?!
Azam fc haitakuja kuwa timu bora mpaka wafute undugu na timu ya simba, wamemtimua Kally Ongara kwa kuwa yeye anapenda yanga, sasa hapo unategemea nini?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…