SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Sekta ya betting nchini Tanzania imeonyesha ukuaji wa haraka, hasa kutokana na ongezeko la michezo ya kubahatisha ya mtandaoni kama Aviator.
Hata hivyo, bado faida nyingi zinatoka nje ya nchi, zikipelekwa kwa makampuni ya kimataifa, na hivyo kupoteza fursa kubwa ya kukuza uchumi wa ndani. Hali hii ni fursa kwa Bahati Nasibu ya Taifa kuchukua hatua madhubuti na kuhakikisha kuwa hela zinazotumika kwenye betting zinabaki ndani ya taifa, zikichangia maendeleo ya jamii na uchumi.
Kwanza, ni muhimu kwa Bahati Nasibu ya Taifa kuunda betting app ya kitaifa yenye uwezo wa kibiashara na kisheria. App hii inaweza kuwa na option mbili pekee kwenye kila betting, kila moja ikiwa na odds 2, ili iwe rahisi kwa jinsi kama Aviator na yenye uwazi.
Mfumo huu unaweza kuhakikisha kuwa kila bet inakuwa na uwezekano sawa, na hatimaye kupunguza hatari ya kupoteza hela nyingi kama inavyotokea kwenye platform za kimataifa.
Pili, Serikali inaweza kuingiza asilimia ya mapato kwa kuhakikisha kuwa inachukua asilimia fulani ya kila bett inayoshinda. Hii itakuwa ni njia ya kisheria ya kupata mapato ya taifa bila kuongeza ushuru wa moja kwa moja kwa wananchi.
Mapato haya yanaweza kutumika kwa miradi ya maendeleo, afya, elimu na sekta nyingine muhimu za kijamii, huku pia yakihamasisha uwekezaji wa ndani katika sekta ya michezo.
Pia, app inaweza kuwa na mfumo wa usahihi wa faida, ambapo kwenye zile option mbili, ushindi unaweza kupewa wachache ili kuhakikisha mfumo haupotezi.
Hii inasaidia kuhakikisha mfumo unakuwa wa kudumu kibiashara, ukilinda uwezo wa Shirika na kuhakikisha kuwa hata wakati mashindano yanapokaribia kupoteza, kuna usawa wa faida na mfumo hauharibiki.
Kwa kuanzisha betting app ya kitaifa, Bahati Nasibu ya Taifa inaweza pia:
Kwa hivyo, sasa ni wakati muafaka kwa Bahati Nasibu ya Taifa kuchukua hatua makini, kuanzisha platform ya kitaifa yenye option mbili zenye odds 2, kushirikiana na Serikali kwenye mapato, na kuhakikisha mfumo wa ushindi unaendana na usalama wa kifedha wa nchi.
Hii itakuwa ni njia ya kuhakikisha kuwa Tanzania inafaidika kikamilifu kutokana na mlipuko wa betting mtandaoni.

- Kudhibiti matumizi ya fedha mtandaoni na kupunguza utekwaji wa hela kwenda nje.
- Kuunda nafasi za ajira mpya kwa vijana wa Tanzania, hasa katika huduma za teknolojia, usimamizi na uuzaji wa betting.
- Kutoa uwazi na kuepuka udanganyifu unaoweza kutokea kwenye betting za kimataifa.