Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Ana tako kubwa?Ni ndugu yangu anaona muda unayoyoma ila hana confidence ya kupata bwana, hana kazi, mzuri ila ana chunusi( anadai hii ni sababu kuu),hatoki nyumbani at all...
Nimejaribu kutoa tips kadhaa hazifati, naomba kusikia kwenu labda kuna mwenye experience au advice kwa hii issue.
Acha vurugu wewe nimefeli au nimeamua tu kutuliza figo zangu!wewe ulishafeligi kaa kwa kutulia
Sio figo.Acha vurugu wewe nimefeli au nimeamua tu kutuliza figo zangu!
Nipe hongera Sasa..😀Sio figo.
mtaimbo bana 😁😁🤭🤭🤣🤣
Subiri kwanza acha haraka.Nipe hongera Sasa..😀
Sipendi kuwekwa kiporo!Subiri kwanza acha haraka.
hupewi hongera hata uandamane.Sipendi kuwekwa kiporo!
Unatafuta mke?Yaani kweli umeshindwa kumwambia ndugu yako huku JF tupo wanaume tunaotafuta mke!!
Hujafa hujaumbika ndugu yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] chunusi kama makoko ya pilau
Mh!hupewi hongera hata uandamane.
Utani tuHujafa hujaumbika ndugu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Wale wanaume wa mipira iliyokufa huko kwenu hamna?
Sio kweliMbona wapo wengi na hata miaka 30 wamejitunza.
Tatizo lako wewe Mbishi!Sio kweli
Pole yakeNi ndugu yangu anaona muda unayoyoma ila hana confidence ya kupata bwana, hana kazi, mzuri ila ana chunusi( anadai hii ni sababu kuu), hatoki nyumbani at all...
Nimejaribu kutoa tips kadhaa hazifati, naomba kusikia kwenu labda kuna mwenye experience au advice kwa hii issue.
Hahaha