Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Ana tako kubwa?Ni ndugu yangu anaona muda unayoyoma ila hana confidence ya kupata bwana, hana kazi, mzuri ila ana chunusi( anadai hii ni sababu kuu),hatoki nyumbani at all...
Nimejaribu kutoa tips kadhaa hazifati, naomba kusikia kwenu labda kuna mwenye experience au advice kwa hii issue.