Ushauri kwa bikra wa miaka 26

Ushauri kwa bikra wa miaka 26

Hellenah

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
233
Reaction score
621
Ni ndugu yangu anaona muda unayoyoma ila hana confidence ya kupata bwana, hana kazi, mzuri ila ana chunusi( anadai hii ni sababu kuu), hatoki nyumbani at all...

Nimejaribu kutoa tips kadhaa hazifati, naomba kusikia kwenu labda kuna mwenye experience au advice kwa hii issue.
 
Mbona wapo wengi na hata miaka 30 wamejitunza.
 
Msije kusema sijawaambia....teh!!




images.jpeg.jpg
 
Kumbe hizo species Bado zipo? Naomba namba yake faster
 
Nitajuaje kama ipo kama ataki kuliwa kwanza...alaf ndio mazungumzo yaanze?
 
Chunusi mbona sio tatzo mm nadawa ya chunusi atapona n pm
 
Semen/manii zinaondoaga chunusi na kufanya ngozi ya mwanamke kua nyororo na ya kuvutia. Hii ni mojawapo ya faida za semen zetu.

Toa contact watu wampe tiba ya chunusi na maradhi mengine
 
Back
Top Bottom