Kwa sasa ili CCM ishinde uchaguzi wa 2025 ina mambo matatu tu ya kuzingatia.
1. Samia azidishe asali kwa wapinzani.
2. Ihakikishe uchaguzi hauko huru.
3. Samia ahakikishe wapinzani hawasimamishi mgombea urais, na wabunge zaidi ya 100 wapite bila kupingwa.
CCM itakuwa na kazi kubwa sana ili ishinde wajipange kisawasawa. Viti vingi vya Ubunge vitaenda kwa wapinzani. Sheria ya Uchaguzi usipoboreshwa CCM itaangukia pua. CCM inatakiwa kuwa maaakini sana. Time will tell.