Hii Chadema ya Lissu ni tofauti sana na Chadema ya Mbowe hasa kwenye njia za kupata pesa. Lissu na team yake wanataka Chadema iwe ya kisasa pamoja na mengi ushauri wangu ni huu
Fungueni Chadema Trust Fund ambayo iwe na account yake maalumu ya uwekezaji nashauri pale UTT. Hii trust fund watafanya utaratibu maalumu wa matumizi na utoaji wa pesa.
Tafuteni Tsh Bilioni 10-20 hata kama hamtapata yote anzeni na hicho pesa hii mtapata kwa . Hii haihusishi ruzuku
1. Wanachana na michango
2. Diaspora
3. Vyama rafiki vya kimataifa
Wekeni pesa UTT ambayo itawapa 10%~12% faida kila mwaka ya kujenga chama kila mwaka kwenye mapato mbakize 3% mfano mkipata 11% chukuweni 8% na 3% inabaki kukuza account
Baada ya miaka mitano mtakuwa mnajitegemea