Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Sijibizani na watoto... Kuwa kwanzaMkuu badogo tu aujapataga akili hadi leoš¤
Ushakua mtu mzima sasa badilika umri uendane na akili kichwani ondoa ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijibizani na watoto... Kuwa kwanzaMkuu badogo tu aujapataga akili hadi leoš¤
Ushakua mtu mzima sasa badilika umri uendane na akili kichwani ondoa ujinga.
Team Mbowe haya mambo hayawahusu. Muda wenu ulishakwisha mbona bado mnayufata fata?We unaambiwa hawa watu wakiona hata unakula kuku wanasema unakula Rushwa, hiyo Bilioni watapata wapi?
Sio Rahisi kufanya biashara na ku ji asscoiate na watu wa namna hii mzee ...
Watakuvuruga na simshauri mfanyabiashara yeyote ajiunge na michango kwa hawa watu.... Utapakwa matope mpaka uhame nchi...
Issue za michango ndio kitu wanaweza, .. waoombeee mpaka waelewe siasa ni pesa itakuwa baadae sana...
Hiyo groupe of jobless lawyers hapo ni suala la muda kila mmoja ataanza kutafuta maslah yake drama za ubunge 2025 zikishindikana.
MuooongoooWe unaambiwa hawa watu wakiona hata unakula kuku wanasema unakula Rushwa, hiyo Bilioni watapata wapi?
Sio Rahisi kufanya biashara na ku ji asscoiate na watu wa namna hii mzee ...
Watakuvuruga na simshauri mfanyabiashara yeyote ajiunge na michango kwa hawa watu.... Utapakwa matope mpaka uhame nchi...
Issue za michango ndio kitu wanaweza, .. waoombeee mpaka waelewe siasa ni pesa itakuwa baadae sana...
Hiyo groupe of jobless lawyers hapo ni suala la muda kila mmoja ataanza kutafuta maslah yake drama za ubunge 2025 zikishindikana.
Subir jua liwakeMuooongooo
Mlitutisha wakati wa mchuano tukawanyoa,sasa hivi tutawafanya kama kukuSubir jua liwake
Ukitaka vichekesho kama hivi, fuatilia mada za mtoa mada.
Bilioni 10 sio kama mdomo, kila mtu anayo
Wewe si uende sasa kwani umekatazwa, watu wamefaulu mpaka akasoma kwa scholarship utajilinganisha na wewe. No wonder kesi zetu zote huko International arbitrations tumeangukia pua!!University ya Warwick acceptance rate yake hata kilaza wa St John anasoma..
Kumbe hujui siasa ni kutafuta public appeal na sympathy votes!! Unadhani Trump kuchangisha fedha za kampeni alikua hana? Its branding kuwa ni "mwenzao" na huna "hela za kifisadi"!! Otherwise mjengo wake umeuona ule? sidhani unaweza kujenga wewe.Law chamber unashindwa kununua gari unaitisha mchango nchi nzima...? embu nipishe bwana
Wewe hunijui bhana...Wewe si uende sasa kwani umekatazwa, watu wamefaulu mpaka akasoma kwa scholarship utajilinganisha na wewe. No wonder kesi zetu zote huko International arbitrations tumeangukia pua!!
Kumbe hujui siasa ni kutafuta public appeal na sympathy votes!! Unadhani Trump kuchangisha fedha za kampeni alikua hana? Its branding kuwa ni "mwenzao" na huna "hela za kifisadi"!! Otherwise mjengo wake umeuona ule? sidhani unaweza kujenga wewe.