DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Pipoooooooooooozi
Moja kwa moja kwenye mada. Katika kipindi hiki ambacho Main stream nyingi na Online media zimeamua kuwa Tawi la CCM nafikiri ni wakati sahihi wa chadema sasa Munatakiwa kuwa wabunifu kwa kuboresha Mitandao yenu ya Kijamii kwa kuwafikishia wananchi taarifa zaidi.
Leo hii ukiingia kwenye mitandao ya kijamii ni kama Chadema haipo sana hata Page zenu zimechoka kweli kweli post zenu video na picha hazina mvuto wala hakuna content nzuri Japokuwa CHADEMA ina watu wanaoweza kuwa Content shida tu ni watengenezaji wa hizo content hamna.
Nafikiri badala ya kulia lia sasa hivi Boresheni Page zenu za Instagram, Twitter, Youtube, na Facebook ambako kuna watanzania wengi wanaotumia hiyo mitandao,HII Itasadia kuwafikishia wananchi habari kwa haraka.
Toeni ajira kwa watu wa Digital pale bila hivyo ni kazi Bure kwa kweli. NIPENI HATA MIMI HIYO KAZI NIJE NA VIJANA WANGU alafu muone vile tutawekeza ubunifu, na taaluma zetu pale.
Najipakulia minyama hapa Niwatengenezee amcontent sio lazima musubiri tu kwenye mikutano ndio mupost hivi leo Nikifanya interview na mnyika, AU Mwaipaya au hata kiongozi wa Chadema sio content? kuuliza hata maswali wanachama huko mtaani, kutengeneza maswali kwa wananchi Huko mtaani hali ilivyo ugumu wa masha n,k,
KWA HIYO badala ya kutoa taarifa tu kuna jinsi ambavyo unaweza kutengeneza Content nyingi sana za tofauti tofauti na zenye kuvutia ambazo ziatawafanya watu wengi zaidi kuwafuatilia
Makonda mtu mmoja tu hapo Arusha amekodi waandishi wake leo hii mitandaoni kote huko ana trend Chama kikubwa kama chadema kinafeli wapi???
Zile media Kubwa ikiwemo TBC,CLOUDS MEDIA,WASAFI MEDIA, MWANANCHI wameamua kuwa matawi ya chama cha mapinduzi.
Hakuna habari ya chadema inayotolewa na hata ikitolewa inapewa nafasi ndogo sana au zile tu zenye matokeo hasi kwa chama
AMKEN AMKEN