Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ili kampeni ya TONE TONE ifanikiwe, ni lazima iambatane na mambo yanayogusa wananchi moja kwa moja na zaid yanayogusa watu wengi.
Kwa maneno mengine, ni lazima CHADEMA waonyeshe na watangaze uhusiano wa TONE TONE na maisha ya wananchi.
Kwa mfano, kampeni ya TONE TONE kuanzia kwenye mabongo ya mitandaoni na kwenye media iambataene na kauli mbiu mbalimbali kama:
1. Changing TONE TONE tupate Tume Huru ya Uchaguzi
2.Changia TONE TONE tupate katiba mpya
3. Changing TONE TONE kwa elimu bure mpaka vyuo vikuu
4. Changia TONE TONE leo kesho ufutiwe deni la Bodi ya Mikopo
5. Changia TONE TONE kwa huduma ya uhakika wa maji mpaka vijijini
6. Changia TONE TONE ukomeshe utekaji wa watu wasiojulikana
7. Mfanyakazi changia TONE TONE uondokane na mzigo mkubwa wa PAYE,
8. Mtanzania Changia TONE TONE uondokane na kero ya tozo
9. Mstaafu changia TONE TONE uondokane na kikokotoo,.
10. Vijana msio na ajira, changia TONE TONE leo, kesho update ajira.
11. Changia TONE TONE kuokoa bandari zetu na mbuga zetu, n.k
Hiyo ni mifumo michache tu ya namna ambayo kampeni ya TONE TONE inaweza kuendeshwa kwa namna ambayo itagusa na kushawishi wananchi.
NO REFORMS, NO ELECTION, inabeba yote hayo, ila sio watanzania wengi wanaweza kuelewa benefits za Uchaguzi huru katika maisha(uhusiano uliopo baina ya maisha yao na uchaguzi huru na wa haki).