Uchaguzi 2020 Ushauri kwa CHADEMA kuelekea Oktoba 2020

LISU hata akiyasema hayo hayatakuwa yakitoka katika dhati ya moyo wake, kiongozi kama jpm at least unaweza kuyaona machoni pake anayokusudia
 
Mbona tuko pamoja sana mkuu !
 
Kwanza unakosea kunichanganya na CHADEMA, nichukulie tu kama mTanzania wa kawaida anayejali nchi yake tu bila ya kujali ni CCM au CHADEMA yuko wapi.

Pili, huwezi kusema hata CHADEMA wakipewa nchi---, wapeni nchi; wakishindwa hiyo 'unemployment na mengine, rudi hapa ueleze. CHADEMA unawalalamikia kwa rekodi ipi waliyoonyesha kushindwa. CCM tunaona kazi yao tayari, wana haki ya kulaumiwa.
 

Sidhani kuna agenda yenye ushawishi kwa wapiga kura kama ya kuwaondolea vikwazo vya maendeleo yao ambavyo viongozi wa CHADEMA wamekuwa na wanaendelea kuita "maendeleo ya vitu". Viongozi hao hao wakipanda jukwaani wanatoa ahadi za "maendeleo ya vitu".

Huwa najiuliza sipati jibu "maendeleo ya watu" ni yapi ambayo Viongozi wa CHADEMA wameyawezesha kwenye Kata, Majimbo na Halmashsuri walizoziongoza kwa miaka 5! Hata humu wafuasi hudai ati "ati na mkoloni alijenga reli" kwa hiyo? Sipati jibu la hoja hiyo katika mazingira ya maendeleo.
 
OoHhh,

Mkuu tindo.

I have never read you in these colors!

Ningekuwa Erythro, ningebandua haya maneno hivi hivi bila kubadilisha kitu chochote na kwenda kuyabandika kwenye Gwanda la Lissu ili kuhakikisha kila siku anayakumbuka.

Nadhani hata yangemsahaulisha baadhi ya maumivu aliyonayo baada ya hali iliyompata.

Ngoja nirudi juu nikusome tena.
 
Sawa kabisa, yafaa wakaja na ajenda za maendeleo zilizo tofauti na za kweli na wasitegemee malumbano na udhaifu wa ccm kushinda.
 

Mwangeso
Ajenda zipo,wanakosa "big brains" wa kuleta ajenda. Ufisadi na rushwa bado zipo,Dr. Slaa aliijua hii tunu na akaitumia kama ajenda back in the days.
Fikiria Raisi ameenda kuzindua nyumba na akagundua "wamepigwa" ni dalili kwamba ufisadi na rushwa bado ipo.
 
We
LISU hata akiyasema hayo hayatakuwa yakitoka katika dhati ya moyo wake, kiongozi kama jpm at least unaweza kuyaona machoni pake anayokusudia

Hizi ni sentensi za mwamba ngoma. Huyo JPM alikaa madarakani akiwa waziri kwa miaka 20. Uliwahi kumsikia akikemea ufisadi, au mikataba ya wizi? Au alingoja mpaka awe rais ndio akemee wizi? Je asingekuwa rais angekaa kimya muda gani? Lisu yeye alianza kupambana na wizi kabla hata hajawa mbunge, je akiwa rais si ndio atafanya vizuri zaidi?
 

Mkuu aloycious nakubali bado kuna agenda nyingi na nzito zinazogusa maendeleo ya wapiga kura za kuikosoa Serikali ya awamu ya tano. Je, Viongozi wa CHADEMA watakubali kujikosoa kuwa walichokihubiri na kufanya hakikuwa sahihi?
 
Kwanza unakosea kunichanganya na CHADEMA, nichukulie tu kama mTanzania wa kawaida anayejali nchi yake....

Pili, huwezi kusema hata CHADEMA wakipewa nchi....

Nashukuru kwa Hilo la Kwanza kwamba sio Kila mpenda mabadiliko Ni mwanachama wa upinzani wengine hawana vyama na Wana haki ya kutoa hoja, mawazo, maoni pamoja na kupiga kura....

Hilo la pili ht Mimi siku natarajia itakuwa hivyo...
 

Ufisadi bado upo Sana lkn hiyo iwe sera ya mwisho kwa kutathimin Thamani ya ufisadi na Nini kingefanyika kumsaidia raia mmoja mmoja...
 
Ufisadi bado upo Sana lkn hiyo iwe sera ya mwisho kwa kutathimin Thamani ya ufisadi na Nini kingefanyika kumsaidia raia mmoja mmoja...

Mkuu
Ndio maana nimetoa ushauri maana nimeona mwenendo ulivyo kwa hawa ndugu zetu. Wakae wafanyie kazi hilo hawajachelewa.
 

hilo sio swala la wape nchi its something thats impossible to create jobs for everyone! the monetary wasnt designed that way, ni sawa sawa useme wananchi wote wafanikiwe haiwezekani, kuna threshold na limitations za exposure ya economy to all citizens, and there must always be divisions for the world to be alive, if it was that way unataka ingekua rahisi sana money would have been printed to create offices and jobs for everyone, ndo maaana cdm nakionaga kama chama cha kukifungia tu maaana all they talk is less sensible ndo maaana mbowe alivoenda jimbon kwake watu walimtimua
 
Andaeni ajenda msiandae
Ajenda zipo ndugu.
Tunataka maendeleo ya watu siyo vitu. Hatutaki matuta yaendelee kujengwa barabarani (ccm inayaita flyover).
CCM inanunua madege ambayo wanufaika wakuu ni popo kupata sehemu ya kuzalia.

Tunapinga chuki na kiki
Tunataka kujenga taifa la watu wenye kupendana, siyo hili la kuzuiana kuaga miili kwenye misiba, siyo hili la kutekana, kuuana na kupigana risasi.

Tunataka taifa linalojali maslahi ya wafanyakazi kwa kuboresha maslahi yao

Tunataka taifa linalonajali maisha ya wakulima kwa kuandaa nguvu ya soko ya ndani na kutafuta masoko bora ya mazao yao nje ya nchi.

CCM ndiyo Haina ajenda mkuu
 

Sawa,nimekubali mkuu.
 
hilo sio swala la wape nchi its something thats impossible to create jobs for everyone! the monetary wasnt designed that way
Where did you pick this statement from, I don't see it anywhere in my write
I am rather baffled by your turn to this sweeping generalization. Where did it come from? Is there any indication in my statement showing that what is narrated here is what I am writing about?
 
Porojo hizo shaykh tindo hebu tindua ukungu kwenye ubongo wako, lisu alikuwa ni mnufaika wa ujira kutoka kwa mabwana wakubwa hakuwa hata na chembe ya uzalendo
 
Porojo hizo shaykh tindo hebu tindua ukungu kwenye ubongo wako, lisu alikuwa ni mnufaika wa ujira kutoka kwa mabwana wakubwa hakuwa hata na chembe ya uzalendo

Ni kweli, hakuwa mzalendo maana uzalendo sasa hivi ni kujipendekeza kwa rais. Ndio maana sasa hivi ni ngumu kutenganisha uzalendo na ujinga.
 
Wewe mjinga unatoa ushauri ikiwa ww mwenyewe umeshindwa kukushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…