Ushauri kwa CHADEMA: Mwenyekiti Mbowe na wenzako, mumshirikishe Ansbert Ngurumo kama one of your think tank

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Yes, very sad! Hopefully Lisu anawasiliana naye! and consequently, Mbowe and Chadema s a whole!

..Lissu ametetea na kuwasemea watu wengi sana nchi hii.

..aliwasemea Mashekhe wa uamsho na Mashekhe wa Answar Sunna wakati watu wengi wakiogopa kuwatetea.

..kuna mamia ya Mashekhe wa Answar Sunna waliswekwa ktk mahabusu mbalimbali bila kufikishwa mahakamani sijui kama wameshatolewa.
 
wa Arusha nasikia bado?? Dar/zanzibar waliachiwa
 
Mshirikishe Ansbert Ngurumo katika harakati zenu za Katiba mpya na tanzania mpya mnayoitafuta!
Huyu ana mawazo ya kuwasaidia kufika huko tunakokutarajia..Katiba mpya!

Erythrocyte

Kwanza arudi Tz
 
Back
Top Bottom