Yes, very sad! Hopefully Lisu anawasiliana naye! and consequently, Mbowe and Chadema s a whole!..msikilize Tundu Lissu alipomtaja Ngurumo wakati wa kampeni za uchaguzi.
Yes, very sad! Hopefully Lisu anawasiliana naye! and consequently, Mbowe and Chadema s a whole!
wa Arusha nasikia bado?? Dar/zanzibar waliachiwa..Lissu ametetea na kuwasemea watu wengi sana nchi hii.
..aliwasemea Mashekhe wa uamsho na Mashekhe wa Answar Sunna wakati watu wengi wakiogopa kuwatetea.
..kuna mamia ya Mashekhe wa Answar Sunna waliswekwa ktk mahabusu mbalimbali bila kufikishwa mahakamani sijui kama wameshatolewa.
..Lissu alidai ni Mashekhe 70 wa Answar Sunna walikuwa wanashikiliwa gereza la Kisongo Arusha.wa Arusha nasikia bado?? Dar/zanzibar waliachiwa
NIMEPATA FARAJAUshauri wako umepokelewa , Japo Ngurumo tuko pamoja naye , hajawahi kuwa mbali
Kwanza arudi TzMshirikishe Ansbert Ngurumo katika harakati zenu za Katiba mpya na tanzania mpya mnayoitafuta!
Huyu ana mawazo ya kuwasaidia kufika huko tunakokutarajia..Katiba mpya!
Kenya2022 - Sikiliza Busara za Ansbert Ngurumo kutoka juu ya funzo kutoka uchaguzi wa Kenya
Uchambuzi kutoka akili kubwa. Changia hoja na si matusi. Challenge hoja zake, then JF itakuwa na Great Thinkers. Msikilize CC Tundu Lisu; Mbowe Freeman, Godbless Lemawww.jamiiforums.com
Erythrocyte
USALAMA WAKE?Kwanza arudi Tz
Hahaha.......!NIMEPATA FARAJA
Arudi kwanzaUSALAMA WAKE?