Ushauri kwa CHADEMA ufunguzi wa mikutano ya hadhara Mwanza na Musoma

SIMU YA TOCHI

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2014
Posts
1,385
Reaction score
894
Tukiwa tunaelekea kwenye uzinduzi wa mikutano ya hadhara, kitu pekee ambacho ninawasihi na itakuwa jambo kubwa na la heri, ni kuzingatia muda na mikutano ianze mapema sana maana wazungumzaji ni wengi sana na tungependa tuwasikilize wote.

Pia msisahau kutupa matukio mubashara kupitia youtube
 
Unaelekea Mwanza halafu unataka urushiwe Mkutano mubashara kwa youtube?!!

Bavicha hampungukiwi vituko
 
Maneno mengi kiswahili hujui. Asemapo "tukiwa tunaelekea kwenye mikutano ya hadhara" wewe kwa kiswahili chako cha kukijua ukubwani unatafsiri kuwa yuko safarini!
Punguza kuandika jikite kusoma ndio mbinu kuu ya kujielimisha.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Maneno mengi kiswahili hujui. Asemapo "tukiwa tunaelekea kwenye mikutano Mwanza" wewe kwa kiswahili chako cha kukijua ukubwani unatafsiri kuwa yuko safarini!
Punguza kuandika jikite kusoma ndio mbinu kuu ya kujielimisha.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hahaha.......sijawahi kuona Bavicha Mwenye makasiriko kama Wewe!

cc: Meku Daudi Mchambuzi - Machame
 
Tukiwa tunaelekea kwenye uzinduzi wa mikutano ya hadhara, kitu pekee ambacho ninawasihi na itakuwa jambo kubwa na la heri, ni kuzingatia muda na mikutano ianze mapema sana maana wazungumzaji ni wengi sana na tungependa tuwasikilize wote.

Pia msisahau kutupa matukio mubashara kupitia youtube
Mje mtueleze pia kwa nini mlishangilia kifo cha JPM
 
Back
Top Bottom