Ushauri kwa CHADEMA ufunguzi wa mikutano ya hadhara Mwanza na Musoma

Ushauri kwa CHADEMA ufunguzi wa mikutano ya hadhara Mwanza na Musoma

Ndiyo mje myaseme
Chama makini kama CDM, hakiwezi kusimama na Kujadili personalities, Bali HOJA.

Watanzania Wana changamoto nyingi sana zinazotakiwa kuwasilishwa, muda huo haupo.

KAZI hizo chafu Nape ndo anaziweza.
 
Chama makini kama CDM, hakiwezi kusimama na Kujadili personalities, Bali HOJA.

Watanzania Wana changamoto nyingi sana zinazotakiwa kuwasikishwa, muda huo haipo.

KAZI hizo Nape ndo anaziweza.
Sawa Mungu yupo anaona
 
Ushahidi wa technology, huwezi jua mana huna uwezo huo! it is simple kuona mtu ameingia hapa saa ngapi na amekaa muda gani!
Hiyo ndio Kazi unayolipwa hapo Chadema kuchunguza wanaume wenzio

Wewe ni mchagga wa ajabu sana!
 
Hiyo ndio Kazi unayolipwa hapo Chadema kuchunguza wanaume wenzio

Wewe ni mchagga wa ajabu sana!
Chama cha mambuzi
20230102_065804.jpg
 
sasa unaleta ukabil ambao ulipigwa marufuku na Nyerere ukarudishwa na Magufuli na sasa wewe una palilia
Usiwashangae hawa vijana wa Lumumba buku 7,ukiingia korido za Lumumba akili unaacha mlangoni.
 
Tukiwa tunaelekea kwenye uzinduzi wa mikutano ya hadhara, kitu pekee ambacho ninawasihi na itakuwa jambo kubwa na la heri, ni kuzingatia muda na mikutano ianze mapema sana maana wazungumzaji ni wengi sana na tungependa tuwasikilize wote.

Pia msisahau kutupa matukio mubashara kupitia youtube
Upinzani muwe mnasikiliza maoni ya wananchi… Mikutano ni Mwanza kila siku.. Siku ya ufunguzi mngewapa haki wanaotaka mabadiliko. Mngegawa kanda. Same Day mngefanya mikutano hata sita Dar/Pwani Nyanda za Juu Kusini Singida Moshi Dodoma au Morogoro Tabora Shinyanga mmeng’ang’ana na Mwanza nyie haya
Viongozi wote Mwanza wataongea wangapi? Maoni tu sio vita
 
Back
Top Bottom