Ushauri kwa CHADEMA ufunguzi wa mikutano ya hadhara Mwanza na Musoma

Ndiyo mje myaseme
Chama makini kama CDM, hakiwezi kusimama na Kujadili personalities, Bali HOJA.

Watanzania Wana changamoto nyingi sana zinazotakiwa kuwasilishwa, muda huo haupo.

KAZI hizo chafu Nape ndo anaziweza.
 
Chama makini kama CDM, hakiwezi kusimama na Kujadili personalities, Bali HOJA.

Watanzania Wana changamoto nyingi sana zinazotakiwa kuwasikishwa, muda huo haipo.

KAZI hizo Nape ndo anaziweza.
Sawa Mungu yupo anaona
 
Wewe unanionaga ukiwa wapi hiyo 24/7

We bavicha una roho ya kimaskini sana !
Ushahidi wa technology, huwezi jua mana huna uwezo huo! it is simple kuona mtu ameingia hapa saa ngapi na amekaa muda gani!
 
Ushahidi wa technology, huwezi jua mana huna uwezo huo! it is simple kuona mtu ameingia hapa saa ngapi na amekaa muda gani!
Hiyo ndio Kazi unayolipwa hapo Chadema kuchunguza wanaume wenzio

Wewe ni mchagga wa ajabu sana!
 
sasa unaleta ukabil ambao ulipigwa marufuku na Nyerere ukarudishwa na Magufuli na sasa wewe una palilia
Usiwashangae hawa vijana wa Lumumba buku 7,ukiingia korido za Lumumba akili unaacha mlangoni.
 
Upinzani muwe mnasikiliza maoni ya wananchiโ€ฆ Mikutano ni Mwanza kila siku.. Siku ya ufunguzi mngewapa haki wanaotaka mabadiliko. Mngegawa kanda. Same Day mngefanya mikutano hata sita Dar/Pwani Nyanda za Juu Kusini Singida Moshi Dodoma au Morogoro Tabora Shinyanga mmengโ€™angโ€™ana na Mwanza nyie haya
Viongozi wote Mwanza wataongea wangapi? Maoni tu sio vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ