BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Kuna Move inachezwa hii ni zile move za Kikorea, Wanao jiondoa hasa wale wa Baraza kuu taifa au mkutano mkuu taifa lengo lake ni kutengeneza upungufu wa akidi, sasa sijajua kama wakina Mnyika au Heche walisha nyaka hilo.
Kuna project ya kutengeneza upungufu wa akidi ya either Mkutano mkuu au Balaza kuu.
Sasa hawa wanao jiondoa zoezi la kuwa replace liwe ni titi for tat.
Kuna project ya kutengeneza upungufu wa akidi ya either Mkutano mkuu au Balaza kuu.
Sasa hawa wanao jiondoa zoezi la kuwa replace liwe ni titi for tat.