Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 709
- 919
Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike.
Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii.
Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM atashinda bila shida.Lakini kwa hali iliyopo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi,chonde chonde nakuomba ufanye linalowesekana Mama asigombee 2025.Kwani ndani ya Chama na Serikali kuna wengi wenye uwezo zaidi ya Mama.Yeye anao uwezo lakini nadhani nchi ni kubwa mno kwake.
Utakuwa umelitendea haki Taifa hili na Chama chetu CCM.