Ushauri kwa Chama changu CCM,Hususan Dk Nchimbi; Saidia Chama na Taifa kwa Ujumla

Ushauri kwa Chama changu CCM,Hususan Dk Nchimbi; Saidia Chama na Taifa kwa Ujumla

Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike.

Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii.

Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM atashinda bila shida.Lakini kwa hali iliyopo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi,chonde chonde nakuomba ufanye linalowesekana Mama asigombee 2025.Kwani ndani ya Chama na Serikali kuna wengi wenye uwezo zaidi ya Mama.Yeye anao uwezo lakini nadhani nchi ni kubwa mno kwake.

Utakuwa umelitendea haki Taifa hili na Chama chetu CCM.
Ccm wanapita mashuleni wanawalazimisha wanafunzi kupiniga picha na kuwapa card za chama

Wanawalazimisha watoto kuambatanisha kadi ya chama wanapoomba mikopo bodi ya mikopo

Hicho ndo chama chao dhaifu
 
Mm mwenzenu namkubari sana huyu mama. Upande wetu watumishi wa unma amefanya mengi sana. Hata hivyo naona aliyoyafanya kwa taifa Ili ni mengi sana. Tumuunge mkono Rais wetu. Samia 5 tena.
 
Back
Top Bottom