Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 709
- 919
Unatuchokoza? Tutaruka na wewe ebo!Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike.
Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii.
Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM atashinda bila shida.Lakini kwa hali iliyopo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi,chonde chonde nakuomba ufanye linalowesekana Mama asigombee 2025.Kwani ndani ya Chama na Serikali kuna wengi wenye uwezo zaidi ya Mama.Yeye anao uwezo lakini nadhani nchi ni kubwa mno kwake.
Utakuwa umelitendea haki Taifa hili na Chama chetu CCM.
Samia ni janga kwa hii nchi.... kuna uchafu wa kutisha sana unaendelea na soon hii nchi haitatamanika!!Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike.
Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii.
Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM atashinda bila shida.Lakini kwa hali iliyopo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi,chonde chonde nakuomba ufanye linalowesekana Mama asigombee 2025.Kwani ndani ya Chama na Serikali kuna wengi wenye uwezo zaidi ya Mama.Yeye anao uwezo lakini nadhani nchi ni kubwa mno kwake.
Utakuwa umelitendea haki Taifa hili na Chama chetu CCM.
Nyamaza ebo! Unaleta uzushiSamia ni janga kwa hii nchi.... kuna uchafu wa kutisha sana unaendelea na soon hii nchi haitatamanika!!
Samia must go!! Yaani hii nchi kutoka kutawaliwa na greatest people kama akina Nyerere hadi kuangukia kwa akina Samia wanaoongozwa na watoto wao??
Yaani leo watanzania wanaongozwa na Abduli kweli?
We Kima wee... Kimalingano, una maanisha nini kuhusu uwezo wa uongozi wa Rais Samia?. Unamaanisha ni asigombee 2025 kwasababu ni hana uwezo, au ni asigombee 2025 kwasababu ndani ya CCM kuna watu wanauwezo zaidi yake?.Dk Nchimbi chonde chonde nakuomba ufanye Mama asigombee 2025, kuna wengi wenye uwezo zaidi ya Mama.Yeye anao uwezo lakini nadhani nchi ni kubwa mno kwake.
Naunga mkono hojaSamia ni janga kwa hii nchi.... kuna uchafu wa kutisha sana unaendelea na soon hii nchi haitatamanika!!
Samia must go!! Yaani hii nchi kutoka kutawaliwa na greatest people kama akina Nyerere hadi kuangukia kwa akina Samia wanaoongozwa na watoto wao??
Yaani leo watanzania wanaongozwa na Abduli kweli?
Abduli now ana control ya moja kwa moja kwa TISS, Police na wizara (hasa mawaziri) endeleeni kupiga pambio.Nyamaza ebo! Unaleta uzushi
Pasko,CCM ina vipaji vya uongozi vingi sana.We Kima wee... Kimalingano, una maanisha nini kuhusu uwezo wa uongozi wa Rais Samia?. Unamaanisha ni asigombee 2025 kwasababu ni hana uwezo, au ni asigombee 2025 kwasababu ndani ya CCM kuna watu wanauwezo zaidi yake?.
Kwani CCM huwa inamteua mgombea mwenye uwezo zaidi au anayekubalika zaidi?. Kati ya the top 3 finalists wa awamu ya JK, Prof. Mwandosya na Dr. Salim Salim, nani alikuwa na uwezo mkubwa kati yao?.
Karibu nyuzi hizi kuhusu uwezo wa Rais Samia
- Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume
- Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
P
Yeye mwenyewe anaishi kwa huruma ya MwenyekitiNakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike.
Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii.
Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM atashinda bila shida.Lakini kwa hali iliyopo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi,chonde chonde nakuomba ufanye linalowesekana Mama asigombee 2025.Kwani ndani ya Chama na Serikali kuna wengi wenye uwezo zaidi ya Mama.Yeye anao uwezo lakini nadhani nchi ni kubwa mno kwake.
Utakuwa umelitendea haki Taifa hili na Chama chetu CCM.
Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike.
Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii.
Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM atashinda bila shida.Lakini kwa hali iliyopo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi,chonde chonde nakuomba ufanye linalowesekana Mama asigombee 2025.Kwani ndani ya Chama na Serikali kuna wengi wenye uwezo zaidi ya Mama.Yeye anao uwezo lakini nadhani nchi ni kubwa mno kwake.
Utakuwa umelitendea haki Taifa hili na Chama chetu CCM.
Huyu anachoweza ni kuteua na kuapishaKwakweli huyu mama uwezo wa kuongoza amepungikiwa, ila kitokana na utamu wa madaraka atagombea, lakini hamna kitu.
Takataka kabisa hiziPasko,CCM ina vipaji vya uongozi vingi sana.
Lakini vilevile,kwa Mtandao na uzoefu mkubwa wa CCM, mtu yeyote atayesimamishwa kugombea urais,hata ukiwa wewe,atashinda.
Ninachoongelea hapa siyo anatekubalika wala sisemi Mama hana uwezo kabisa.Ninachosema ni kwamba mambo yanaenda hovyo mno.Ampokee mwingine mwenye uwezo zaidi kama vile akina Nchimbi,Bashiru,Makonda,Polepole nk.
Amshauri Mama (MKiti wake) aachie kiti kwa amani kwani muda wake umemalizika na amesaidia alivyoweza. Akifanya hivyo ataheshimika daima. Mwl Nyerere alifanya hivyo hivyo kupisha wengine na anaendelea kuheshimika kwa kuachia madaraka bila kung'ang'ania.Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike.
Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii.
Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM atashinda bila shida.Lakini kwa hali iliyopo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi,chonde chonde nakuomba ufanye linalowesekana Mama asigombee 2025.Kwani ndani ya Chama na Serikali kuna wengi wenye uwezo zaidi ya Mama.Yeye anao uwezo lakini nadhani nchi ni kubwa mno kwake.
Utakuwa umelitendea haki Taifa hili na Chama chetu CCM.
Awamu mbili kwani huyo mama alikuwa mgombea wa urais?Hilo halito wezekana kwasababu ya katiba/mila na desturi ya chama iliyo tengeneza sera ya awamu mbili.
Umesahau ile kauli ya chama kwamba zidumu fikra za mwenyekiti..🤔
Kwa hiyo wee Kima, Kimalingano unamaanisha Mama nchi imemshinda, hivyo atafutwe mwingine?.Pasko,CCM ina vipaji vya uongozi vingi sana.