Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

Wabongo wepesi sana kusahau, leo wanawatetea clouds kwa umafia waliofanyiwa na Bashite wameshasahau umafia wa clouds wanaoufanya kwa wasanii
 
Hakuna media iliomfanya mond kuwa mkubwa....Mondo kajifanya mkubwa mwenyewe kwa juhudi na maarifa yake kwenye kazi zake...afu dua la kuku halmpati mwewe kenge wewe
Mondi hana lolote zero brain huyo anapiga tunguri Nani asiyejua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…