Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe ulitaka afanye ili uliridhike kwamba kafurahia au ajafurahia?Kw
Walichofanyiwa clouds FM yeye alifurahi
Mkuu kuongea shigongo yeye malaika? Eti sijui nani kaongea shigongo sio mungu.shigongo aliongea
Mkuu unajua maana ya mabadiliko? Shetani akizeeka anakua malaika unaamini hilo? Unaamini ukitaka kummaliza adui jifanye rafiki yake?Kuna kipindi Clouds ilikuwa ikinyambwa vibaya hapa Jf na wananzengo kuhusu wasanii wa kitanzania na muziki kwa ujumla. Leo Clouds imekuwa HERO inatakiwa imshughulikie Diamond
Watanzania itatuchukua muda mrefu sana mpaka kujua tunataka nini
Hahahaaaaa.. mkuu umeamua kumuachia laana???hahahahahaaaSisi ambao hatufanyi kazi tunajadili vyeti ndio tulinunua vijimbo vyake hadi akampata Wema . wema akampa ujanja ukatoboa kampata Zari kuptia sisi leo anatuona wajinga......Kijana sifa zimemlevya sana. Hao anawatetea kipindi iko anatoka walikuwa hata hawamjui kabisa.Tutamuomba Mungu nasi tulikuinua kupitia vijijimbo vyako ushuke mara moja......Tuungane wadau kwa hili.....Kuanganguka kwake itachukua muda ila tuwe wavumilivu ipo siku
Moja Ya nguzo Ya busara ni kuona kesho kuhustle hakumaanish huwez jikwaaaa......BY the way shigongo hakueleza kuwa amepangiwa ila alieleza sababu zitakazo muangusha bwana mkubwaMkuu kuongea shigongo yeye malaika? Eti sijui nani kaongea shigongo sio mungu.
Ame hustle kivyake katika mafanikio yake halafu anakuja mtu kumpangia matumizi,mara usiongee na yule kwasababu mimi siongei nae pfyuuuuum.
Nafkiri unajitahidi kuwapangia nn cha kufanya... Wanayo demokrasia yao na si udikteta wako.. Halafu mbna matusi kibao kwenye post yakoHuyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.
Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.
Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.
Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.
Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.
Na efm huyu kijana hawafai kabsa.
Teh teh teh eti mzamiaji anajifanya dalai lama.Huku kwetu watu wako bize na upuuzi wa vyeti na kushikiwa akili na mchungaji na mzamiaji mmoja huko mbele badala ya kujadili vya maendeleo ya kitaifa kama Kenya
Shingongo alikiwa shaihiMoja Ya nguzo Ya busara ni kuona kesho kuhustle hakumaanish huwez jikwaaaa......BY the way shigongo hakueleza kuwa amepangiwa ila alieleza sababu zitakazo muangusha bwana mkubwa
Jumamosi Roma kapatikana!
Mkuu viumbe vingine vinakera sana.......ila basi tuHahahaaaaa.. mkuu umeamua kumuachia laana???hahahahahaaa
Na haaunguki sasa kama vipi chukua kiti ukae kabisa maana utasubiri sana......badala utumie mda wako vizuri kufanya kazi, kazi kuombea wenzio wafeli.....ukiona kakukera pita ivi tupo tunaomsapoti.......mshakazania kuanguka kuanguka mbona nyie hamjui kesho yenuMoja Ya nguzo Ya busara ni kuona kesho kuhustle hakumaanish huwez jikwaaaa......BY the way shigongo hakueleza kuwa amepangiwa ila alieleza sababu zitakazo muangusha bwana mkubwa
Tuyaache tusitumie sana nguvu nyuma ya hizi initialsNa haaunguki sasa kama vipi chukua kiti ukae kabisa maana utasubiri sana......badala utumie mda wako vizuri kufanya kazi, kazi kuombea wenzio wafeli.....ukiona kakukera pita ivi tupo tunaomsapoti.......mshakazania kuanguka kuanguka mbona nyie hamjui kesho yenu
Ivi ukifanya roughly calculations ushabiki wako umemuongezea sh ngap unadhan. Democracy inataka kila mtu atoe hoja zake mfikie conclusion na sio kumtukana mtu kisa yuko against your opinion. Tusipangiane jinsi ya kuishi kila mtu aliumbwa kivyake. Common sense is not common.Binafsi kuanzia Leo nipo team kiba,abaki na domo lake kama bakuri LA jela.
Tehe tehe tehe!Diamond anauza kazi zake siku hizi kupitia mtandao.Yaani ni kama mashine ya pesa.ikifika jioni anasoma meter zimeingia ngapi.Hayo mambo ya kutegemea Clouds na redio nyingine wamebaki nayo jina KibaHuyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.
Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.
Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.
Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.
Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.
Na efm huyu kijana hawafai kabsa.