Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

"Najariiibu kunyamaza, lakini moyo hautaki yooyoo...." acha nikae kimya, nimependa alivyoonesha ufundi wake katika huu wimbo, the rest namuachia mwenyewe.
 
kiukweli kwa kazi yake ambayo inategemea media % kubwa angesoma tu alama za nyakati apige kimya bashite na mkulu wanamtumia vibaya na kuna siku watampita kama hawamjui ndo atajutia ujinga alioufanya mashabiki ni kama maji au upepo. hawaeleweki hata siku moja dogo watch it itakucost am sure zarri angekuwa karibu angekushauri vizuri ila uyo fafafa mlezi wako anakupoteza
 
Kuna kipindi Clouds ilikuwa ikinyambwa vibaya hapa Jf na wananzengo kuhusu wasanii wa kitanzania na muziki kwa ujumla. Leo Clouds imekuwa HERO inatakiwa imshughulikie Diamond
Watanzania itatuchukua muda mrefu sana mpaka kujua tunataka nini
Mkuu unajua maana ya mabadiliko? Shetani akizeeka anakua malaika unaamini hilo? Unaamini ukitaka kummaliza adui jifanye rafiki yake?

Ukiwa na majibu ya haya maswali utapata kamwanga kwa nini clouds ndio fimbo sahihi ya kumchapa huyo msanii.
 
Sisi ambao hatufanyi kazi tunajadili vyeti ndio tulinunua vijimbo vyake hadi akampata Wema . wema akampa ujanja ukatoboa kampata Zari kuptia sisi leo anatuona wajinga......Kijana sifa zimemlevya sana. Hao anawatetea kipindi iko anatoka walikuwa hata hawamjui kabisa.Tutamuomba Mungu nasi tulikuinua kupitia vijijimbo vyako ushuke mara moja......Tuungane wadau kwa hili.....Kuanganguka kwake itachukua muda ila tuwe wavumilivu ipo siku
Hahahaaaaa.. mkuu umeamua kumuachia laana???hahahahahaaa
 
Mkuu kuongea shigongo yeye malaika? Eti sijui nani kaongea shigongo sio mungu.
Ame hustle kivyake katika mafanikio yake halafu anakuja mtu kumpangia matumizi,mara usiongee na yule kwasababu mimi siongei nae pfyuuuuum.
Moja Ya nguzo Ya busara ni kuona kesho kuhustle hakumaanish huwez jikwaaaa......BY the way shigongo hakueleza kuwa amepangiwa ila alieleza sababu zitakazo muangusha bwana mkubwa
 
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.

Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.

Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.

Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.

Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.

Na efm huyu kijana hawafai kabsa.
Nafkiri unajitahidi kuwapangia nn cha kufanya... Wanayo demokrasia yao na si udikteta wako.. Halafu mbna matusi kibao kwenye post yako
 
Huku kwetu watu wako bize na upuuzi wa vyeti na kushikiwa akili na mchungaji na mzamiaji mmoja huko mbele badala ya kujadili vya maendeleo ya kitaifa kama Kenya
Teh teh teh eti mzamiaji anajifanya dalai lama.
 
Moja Ya nguzo Ya busara ni kuona kesho kuhustle hakumaanish huwez jikwaaaa......BY the way shigongo hakueleza kuwa amepangiwa ila alieleza sababu zitakazo muangusha bwana mkubwa
Na haaunguki sasa kama vipi chukua kiti ukae kabisa maana utasubiri sana......badala utumie mda wako vizuri kufanya kazi, kazi kuombea wenzio wafeli.....ukiona kakukera pita ivi tupo tunaomsapoti.......mshakazania kuanguka kuanguka mbona nyie hamjui kesho yenu
 
Clouds fm ni wanafiki kwa kumsimamisha yule mwandishi wa habari kwasababu mbona wanamwandika kwa unafiki wa mabaya?
 
Na haaunguki sasa kama vipi chukua kiti ukae kabisa maana utasubiri sana......badala utumie mda wako vizuri kufanya kazi, kazi kuombea wenzio wafeli.....ukiona kakukera pita ivi tupo tunaomsapoti.......mshakazania kuanguka kuanguka mbona nyie hamjui kesho yenu
Tuyaache tusitumie sana nguvu nyuma ya hizi initials
 
Diamond alipofikia siyo wa kushushwa na Clouds it's too late!!

Jini likishatoka kwenye chupa halirudishiki ni sawa na mwanaume kurudisha manii kupitia urethra baada ya kupiga bao.

Labda wamuingize kwenye madawa kama Ngwair.

No wonder watz tunaongoza kwa kutokua na furaha sababu kubwa ni kutumia muda mwingi mkihangaika kuwashusha waliofanikiwa.

Diamond siyo kioo cha gari la Ruge kwamba akijisikia tu any time anashusha,ile siyo pichu ya Zama either kwamba anaweza ishusha kirahisi hivyo.
 
Binafsi kuanzia Leo nipo team kiba,abaki na domo lake kama bakuri LA jela.
Ivi ukifanya roughly calculations ushabiki wako umemuongezea sh ngap unadhan. Democracy inataka kila mtu atoe hoja zake mfikie conclusion na sio kumtukana mtu kisa yuko against your opinion. Tusipangiane jinsi ya kuishi kila mtu aliumbwa kivyake. Common sense is not common.
 
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.

Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.

Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.

Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.

Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.

Na efm huyu kijana hawafai kabsa.
Tehe tehe tehe!Diamond anauza kazi zake siku hizi kupitia mtandao.Yaani ni kama mashine ya pesa.ikifika jioni anasoma meter zimeingia ngapi.Hayo mambo ya kutegemea Clouds na redio nyingine wamebaki nayo jina Kiba
 
Back
Top Bottom