Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

Hii ni nchi huru.kila mtu yuko huru kutoa maoni yake ilimradi asipitilize akavunja sheria.kaka sioni ni wapi diamond alipokosea.Dhahiri unaonekana uko na chuki.kumbuka diamond ni wa kimataifa clouds hawawez kumshusha tena.hategemei media so endelea kupayuka upupu wako ukimaliza kaangalie you tube views wangapi na wasafi.com kapiga mtonyo kiasi gani.Acha chuki bro
Hawezi kushushwa sawa...muda rafiki mzuri
 
ile nyimbo imebuma tayari alaf tatzo.mondi kaishia form two hata living sertificate hana bora mm nna D5 ndy maana anamtetea mburura mwenzie.kwanz mondi wa mwaka jana syo huyu soon ata kwambia npo buzy na biashara kumbe game ngumu
Kujitekenya uku....mim nikazani viroba havipatkani kumbe bado vipo
 
Living sertificate=Leaving certificate

Si mbaya bora kuishia la saba,form two ila maendeleo makubwa anayo. Wewe wa dv 5 maendeleo uliyonayo ni kumiliki smartphone tu,kula,kushit,kulala kwa wazazi,shemeji,ndugu,jamaa na marafiki
mawazo yako yalipo ishia nyie ndy mafala hamjui na hamjui kma.hamjui
 
Naomba Kuanzia hapa jf tumsusie huyu domo.
Hakuna haja ya kuhamhaika naye wala miziki yake.Popote tumzomee
 
Diamond aliposahv wakumshusha ni MUNGU tu hawawengine hamna mbna eatv earadio hawapigi na akawambia mnajipotezea mda Diamond sio mziki tena ni jina ndo linauza kwahyo tulia muvi liendelee
nadhani alipofika anauwezo hata wa kuwekeza kwenye biashara sawia na hao mawingu...
 
Hii ni nchi huru.kila mtu yuko huru kutoa maoni yake ilimradi asipitilize akavunja sheria.kaka sioni ni wapi diamond alipokosea.Dhahiri unaonekana uko na chuki.kumbuka diamond ni wa kimataifa clouds hawawez kumshusha tena.hategemei media so endelea kupayuka upupu wako ukimaliza kaangalie you tube views wangapi na wasafi.com kapiga mtonyo kiasi gani.Acha chuki bro
Nanusa harufu ya ile kitu JK Nyerere alipata sema "chuki dhidi ya.......uislam"
 
Sisi ambao hatufanyi kazi tunajadili vyeti ndio tulinunua vijimbo vyake hadi akampata Wema . wema akampa ujanja ukatoboa kampata Zari kuptia sisi leo anatuona wajinga......Kijana sifa zimemlevya sana. Hao anawatetea kipindi iko anatoka walikuwa hata hawamjui kabisa.Tutamuomba Mungu nasi tulikuinua kupitia vijijimbo vyako ushuke mara moja......Tuungane wadau kwa hili.....Kuanganguka kwake itachukua muda ila tuwe wavumilivu ipo siku
 
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.

Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.

Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.

Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.

Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.

Na efm huyu kijana hawafai kabsa.
Hebu weka huo wimbo maana cjausikia kabla sijakoment chochote
 
clouds wanapiga sana huu wimbo wa mond
 
Ujue kila binadamu anatembea na kichwa chake na ubongo wake huwez kuwa mnafki wa nafsi yako hata siku moja....katu usikubali mtu akuamulie namna ya uhalisia wa maisha yako....kila msanii anahisia ktk utunzi wake hivyo ye kaandkia maoni yake juu ya haya yanayoendelea na sio lazima kisa yey bas aguswe sawa na watz wote hio haitakua demokrasia....mtu hujamsaidia kutunga wimbo...hujamlipia hta hela ya kurekod...hujawai hta udhuria shoo zake ndo useme et anakuzarau kisa tu kasimamia kile anachokiamin....ukiona hujaupend wimbo bas tungawako uone km ni kaz rahis
 
M'marekan anawaamulia sana wasio jielewa namna ya kuish pia kuamin na nyie kisa kujiongeza hamjuui bas neno lake ndo linakua sheria ktk vichwa vyenu duh so saaaad yan....km leo hi dai ni mnafki je ye ni wa kwanza kuwa hivo???? Km top wa nchi hajasem chochote mawazir wangp wapo kimya??? Viongoz na wanaharakt wangp wameshasema saaana na kukemea haya yote na hakuna hatua iliyochukuliwa?? Je dai ni nan hasa wimbo wake utengue msimamo wa serikali??? Walioimba kukemea bas wametosha na km wapo wengine waendelee tuuu...ila huwez muamulia mtu nin akiandike ktk wimbo wake hat km unachokisema hakitalet radha ktk wimbo wke unatak akiweke tuuu?????
 
Demokrasia ni nini kama wewe hapo unashauri udikteta. Watu wengine bana akili zenu sijui huwa mnamuazima nani. Kisa dai hayupo upande wenu kelele mtindo mmoja. Akija upande wenu mnamsafisha na vyeo mnampachika acheni hizo.

Team dai sio wanafiki kama wewe. Eti mlimsapoti pheeeewwwwiiii jitoe tuone kama atashuka kwa kijithread chako hichi

Mkuuu waache wakae na Wema Sepetu wao na sisi tutakaa na Dimon wetu....na atunge albam kabsaa ya kuwaponda tutanunua tu.
 
Mbona nape hamkusema ni maoni yake kuunda tume kufuatilia uvamizi wa clouds .. Mkamtumbua shenzi kabisa masikini Mkubwa mla vumbi wewe

Nape naye ni team Wem sepetu,alitakiwa kusikiliza bosi wake amesema nini na yeye afate...Sasa kashasahau kwamba bosi anuniwi ngoja tumwandalie goli la mkono atajuta.
 
Back
Top Bottom