barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Timubkiba mmepata pa kuhemea, mond bado anakaza nati mpaka ikatike.Huyo kijana ni mwanaccm, anatafuta pesa, Bashite ni mlezi wa kundi lake.. Mlitegemea nini kutoka kwa watu kama hao?
Muacheni aendelee kuburudisha na kutafuta pesa!
Mbona nape hamkusema ni maoni yake kuunda tume kufuatilia uvamizi wa clouds .. Mkamtumbua shenzi kabisa masikini Mkubwa mla vumbi weweSasa kwanini hamtaki kuvumilia wenzenu wakisema wakati nyie mnasema ooooh mnapigania uhuru wa maoni?
Mtulie dawa iwaingie hayo ndio maoni ya Diamond
[emoji16][emoji23][emoji16] ninaandaa recording tools....kesho ni ni DominicoMimi ni team Dai
Ila kwa hili amenichefua sana
Radio/TV & vyombo vyote vya habari visipige nyimbo zake,ni mnafki sana
Gwajima tunaomba mafile yote ya Dai kesho mezani kwako, usibakishe kitu
mi ni mbishi tatizo nikitaka kukubishia moyo unagoma,
naona kuna namna hapa
[emoji28]
Sawa mzeePovu la nini? Diamond miziki yake iko mtv, trace na chanel za west afrika na south afrika, take a chill pill dude!
Kutokufanya kazi kuna sababu, moja ni kutokuwa na kazi ya kufanya, ngombe huyo diamindKuna njia za kutafuta siyo kwa kututukana siye. Pimbi kajisahau Huyo...eti wananchi tukae kimya kisa.... Hatufanyi Kazi tunaongelea vyeti. Pumbafu huyu
bas niwe nakuja PM tubishane vzuri eehHahaa kwa sababu tutakesha hasa nikiwa free naenjoy ka ubishi
Yaani Dai safari hii katibua watu, ati Mange ndio anawachochea Daudi na Gwajima anasahau ugomvi aliuanzisha Daudi mwenyewe kwa kumhusisha askofu na ngada, tena askofu aliomba aombwe radhi, Daudi kaweka ngumu sasa anatuona sisi sote ni mafala.Mimi ni team Dai
Ila kwa hili amenichefua sana
Radio/TV & vyombo vyote vya habari visipige nyimbo zake,ni mnafki sana
Gwajima tunaomba mafile yote ya Dai kesho mezani kwako, usibakishe kitu
Watz hao ndiyo wanataka bashite atoke darAliyekituma mwambie Wa tz tupo makini sana ,Huyo unaye muita bashite ndio raisi wetu hapa DSM jinyonge tu,na kama wewe sio muuza ngada sijui,endelea kuisoma namba br
Huyu kijana pimbi sanaYaani Dai safari hii katibua watu, ati Mange ndio anawachochea Daudi na Gwajima anasahau ugomvi aliuanzisha Daudi mwenyewe kwa kumhusisha askofu na ngada, tena askofu aliomba aombwe radhi, Daudi kaweka ngumu sasa anatuona sisi sote ni mafala.
Clouds FM ndio mdudu gan katika hii nchi ?Huyu kijana anadharau sana. Kumsapoti ndiyo kuna mfanya ajione Mkubwa kuliko wananchi...clouds FM msituangushe
tuheshimiane mbwa we, usdhani kila mtu anawaza unavyowaza we mamaUkimaliza kuwa boy,utaelewa...dreams are not reality