Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

Sasa kwanini hamtaki kuvumilia wenzenu wakisema wakati nyie mnasema ooooh mnapigania uhuru wa maoni?
Mtulie dawa iwaingie hayo ndio maoni ya Diamond
Mbona nape hamkusema ni maoni yake kuunda tume kufuatilia uvamizi wa clouds .. Mkamtumbua shenzi kabisa masikini Mkubwa mla vumbi wewe
 
Mimi ni team Dai
Ila kwa hili amenichefua sana

Radio/TV & vyombo vyote vya habari visipige nyimbo zake,ni mnafki sana

Gwajima tunaomba mafile yote ya Dai kesho mezani kwako, usibakishe kitu
[emoji16][emoji23][emoji16] ninaandaa recording tools....kesho ni ni Dominico
 
Observe your time please , live your life because life is short and no one will live forever so enjoy the moment
 
Kuna njia za kutafuta siyo kwa kututukana siye. Pimbi kajisahau Huyo...eti wananchi tukae kimya kisa.... Hatufanyi Kazi tunaongelea vyeti. Pumbafu huyu
Kutokufanya kazi kuna sababu, moja ni kutokuwa na kazi ya kufanya, ngombe huyo diamind
 
Mimi ni team Dai
Ila kwa hili amenichefua sana

Radio/TV & vyombo vyote vya habari visipige nyimbo zake,ni mnafki sana

Gwajima tunaomba mafile yote ya Dai kesho mezani kwako, usibakishe kitu
Yaani Dai safari hii katibua watu, ati Mange ndio anawachochea Daudi na Gwajima anasahau ugomvi aliuanzisha Daudi mwenyewe kwa kumhusisha askofu na ngada, tena askofu aliomba aombwe radhi, Daudi kaweka ngumu sasa anatuona sisi sote ni mafala.
 
Aliyekituma mwambie Wa tz tupo makini sana ,Huyo unaye muita bashite ndio raisi wetu hapa DSM jinyonge tu,na kama wewe sio muuza ngada sijui,endelea kuisoma namba br
Watz hao ndiyo wanataka bashite atoke dar
 
Dai ana haki jamani ya kutoa iyo nyimbo coz msanii wana Uhuru WAo kama wasanii na n kioo cha jamii,sasaunapomtukana msanii unakuwa hufungamani na jamii wewe,be careful you have no freedom,watch it
 
Yaani Dai safari hii katibua watu, ati Mange ndio anawachochea Daudi na Gwajima anasahau ugomvi aliuanzisha Daudi mwenyewe kwa kumhusisha askofu na ngada, tena askofu aliomba aombwe radhi, Daudi kaweka ngumu sasa anatuona sisi sote ni mafala.
Huyu kijana pimbi sana
 
Hahaha huu mchezo mchafu [HASHTAG]#watuwatatuwanampelekadiamondshimoni[/HASHTAG] picha linaanza kama ivyo....
 
Angejua ugumu wa kupata vyeti wala acngetetea ubashite
 
Una chuki zako binafsi juu ya Diamond. Makonda nae amewakamata pabaya unaumia.

Acha kuchonganisha, RC hakuvamia bali aliingia.

Kaa ulie na wivu uliokujaaaaaaa
 
Back
Top Bottom