Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

hahahaha
halafu nirushie bas wimbo huo ni uskie [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

ila kakera sana
Ahahaaaa nakutumia link ukanunue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole jamani kwel kakukera masikini [emoji28] [emoji28]
 

Wakati hao Clouds wana kazi ya kumtafutia kituko Mondi ili wauze umbea. Watakufa njaa.
 
Me toka siku ile j5 wamemualika DAB kwenye ofisi yao ndo nilirealize Mond sometimes huwa anapuyanga sana huyu dogo
 
Mimi bashite ata simpendi to begin with. Ana kiherehere sana. So uyo kibinda nkoi mie walaaaaa.[emoji16] [emoji16]
Ndio nmehama mkoa mondi ni mkali kwangu aiseee[emoji23] [emoji23]
mmmh!!
kumpenda kwako mondi kumenistua
thts too much
[emoji28]
 
Huko ulaya watu wanapenda msanii mpaka wanalia tunawaona wana upendo wa kweli.
Ahahaaaaaaa ila bongo ukimpenda msanii mtu anaanza kushtuka [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
huko ulaya
usha jisemea mwenyewe
 
Ahsante Mkubwa; kiukweli Siku hizi huyu dogo anaboa ile mbaya na kufikiri safari ya sanaa imefika mwisho kumbe bado..sasa napata mashaka juu ya safari yake katika sanaa na hawezi fika mbali kama ataendelea na kuendekeza ulimbukeni anao ufanya sasa..Ni dhahiri shahiri kabisa sasa huyu kijana ndo mtu maarufu hapa Tz aliye kithiri na kutia kinyaa kwa unafiki..Cha msingi media kubwa zote pomoja na radio presenters wamnyime air time ili akome ubishi na huyo shoga yake Bashite..
 
Hiyo ni kwa huko kwenu bushi mabonde kuinama, huku kwa Makonda na simba tunanunua mifagio tofauti wa chooni na wa sebuleni au ndani ya nyumba na mwingine wa nje ya nyumba,

Yule aliekupandisha ndiye atakae kushusha, ufagio ukiwa mpya hufagia sebule ila ukiisha hufagia chooni,
Jipange diamond haya ni maisha tu
 
Ata mm wa ulaya. Nimekuja bongo kutembea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahaha
una ufahamu wimbo wa greenade!?
yaan wewe ndio unaweza ku catch greenade kwa ajili ya Mondy Bashite
 
Huyo Dai ni mrembo wa wapi tena(?..) Kwani anatofauti na da kiboga Au ni mdogo ake Bashite?..Nahitaji ufafanuzi..
 
Pole sana
Mungu pekee ndiye anapanga yupi amshushe na yupi ampandishe
nyie na upuuzi wenu kamwe hamta msusha Diamond
Naona umesahau Mungu anapanga na anatekeleza kupitia watu. Nyie ndo wanawake mnaosema "Mungu atanipa mume" alafu ukitongozwa na wanaume unabetua midomo! Mungu akikupandisha kupitia watu ujue anaweza kukushusha kupitia watu hao hao!
 
hahahaha
una ufahamu wimbo wa greenade!?
yaan wewe ndio unaweza ku catch greenade kwa ajili ya Mondy Bashite
Bruno Mars mwenyewe hakusema ata catch grenade ya fan [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huo upendo wa ivyo unaishia kwa Van
 
dah jamaa mapovu yote haya..!!..kisa diamond?!..au kuna mengine?!..kweli tanzania kuna vituko..na hatupo serious na maisha yetu binafsi...mmh ngoja nipite bn kweli nimeamini..tunasafari ndefu bado watanzania...sie kweli masikini[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…