Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

Sugu antivirus si ilimpa hadi ubunge,jay dee katusua hata bila clouds,fid q nae yupo wala hajachacha sana aisee mnaiabudu sana clouds acha iwanyonye wasanii itakavyo
Kijana naona haijui vizuri Clouds awaulize hawa hapa

Rama dee

Mapacha

Sugu(na Antivirus yake)

Ruby

Ibra

Fid Q

MwanaFA

Lady jaydee

N.k
 
Sasa kwanini hamtaki kuvumilia wenzenu wakisema wakati nyie mnasema ooooh mnapigania uhuru wa maoni?
Mtulie dawa iwaingie hayo ndio maoni ya Diamond
Hatujasema tunapigania uhuru wa kuvamia na kuteka.
Huyu kichaa anajaribu kututoa kwenye mstari tumjumuishe bashite kwenye furaha yetu.
Amekwama na watakwenda na maji wote wawili maana ndio amechagua.
 
Sasa kwanini hamtaki kuvumilia wenzenu wakisema wakati nyie mnasema ooooh mnapigania uhuru wa maoni?
Mtulie dawa iwaingie hayo ndio maoni ya Diamond
Kwahiyo suala la vyeti sio Issue tena?

Basi wale waliotimuliwa serikalini pamoja na kufungwa jela na kupigwa faini kwa ajili ya kosa la vyeti warudishwe mara moja, Pamoja na kuombwa radhi.

MACCM msifanye kila mtu ni mpuuzi.
 
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.

Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.

Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.

Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.

Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Diandomo katumwa na begi mwenzake
 
Huyo kijana ni mwanaccm, anatafuta pesa, Bashite ni mlezi wa kundi lake.. Mlitegemea nini kutoka kwa watu kama hao?

Muacheni aendelee kuburudisha na kutafuta pesa!
Kuna njia za kutafuta siyo kwa kututukana siye. Pimbi kajisahau Huyo...eti wananchi tukae kimya kisa.... Hatufanyi Kazi tunaongelea vyeti. Pumbafu huyu
 
Yes kwangu raha sana,kupanic kwa maneno inafurahisha halafu inanoga zaidi akaja kujibu mtu mbishi mbish kwangu rahaa
mi ni mbishi tatizo nikitaka kukubishia moyo unagoma,
naona kuna namna hapa
[emoji28]
 
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.

Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.

Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.

Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.

Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Povu la nini? Diamond miziki yake iko mtv, trace na chanel za west afrika na south afrika, take a chill pill dude!
 
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.

Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.

Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.

Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.

Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Aliyekituma mwambie Wa tz tupo makini sana ,Huyo unaye muita bashite ndio raisi wetu hapa DSM jinyonge tu,na kama wewe sio muuza ngada sijui,endelea kuisoma namba br
 
Huyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.

Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.

Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.

Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.

Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Fanya kazi acha kujadili vyeti au Diamond mwenziyo kashaingiza siku kwenye hiyo nyimbo
 
tusihamishiane stress, wew ni nani wa kuiamuru clouds media group?. Makonda matatizo yake yako obvious ? Diamond kamsfia wapi huyu makonda?
Ukimaliza kuwa boy,utaelewa...dreams are not reality
 
Sasa kwanini hamtaki kuvumilia wenzenu wakisema wakati nyie mnasema ooooh mnapigania uhuru wa maoni?
Mtulie dawa iwaingie hayo ndio maoni ya Diamond
Sasa mbona maoni yake anayatolea clarification siku nzima ili aeleweke asije kutumbuliwa na gwajima ....

Aache kama yalivyo na sisi tumjibu
 
Anasema kwenye wimbo ....napewa habari za chini ya kapeti,kituo fulani kimevamiwa eti kana kwamba hana uhakika na lile tukio maana yake hajaguswa na Clouds kuvamiwa daaaah.... basi Clouds ni yao kina Ruge hatuwapangii wa kuwasupport
 
Back
Top Bottom