Ushauri kwa Diamond kama shabiki beef halikusaidii tumia akili kulikwepa

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Ww diamond ni msanii mkubwa sana na ulikuwa umejijengea heshima kubwa sana kwenye jamii kutokan na kazi zako za mziki. Ni mtu ambaye ulikuwa una deel na kazi zako tu, ulikuwa siyo mtu wa mabifu na maugomvi mtu mnyenyekevu nakumbuka wasanii wenzio walikuwa wanakusem sana lakini ulikuwa unapiga kimy na kazi ndo zilikuwa zinaongea zenyewe.

Lakini kwa nini umebadirika ghafla maana siyo yule mond niliyemzoea umekuwa mropokaji, mtaka shari, kutukana na kudharirisha wanawake, uku ukijua kabisa hawo ndo mafansi zako wakubwa.

Kitu kingine ambacho sijapendezwa nacho ni hii tabia ulioianzisha ya kutaka uonekane ww tu hutaki wenzio wasikike, inajulikana kabisa ww na kiba haziivi na maadui zako wameunganish nguvu na kiba ili wakuumize kwa nn unashindwa kujiongeza na kutumia akili kujitenga na hilo beef, sikuona umuhimu wowte wa ww kuamua kuiblock ngoma ya mshindani wako kwa kuachia wimbo mda mchache baada ya yeye kutoa wimbo.,

Inajulikana kuwa tar 1 sep unatoa wimbo uloshirikiana na patoranking si ungesubiri muda ukafika ukatoa huwo wimbo. Na jinsi wimbo wa kiba ulivo mbovu ungekuw tayar ushajifia lakini cha ajabu umekurupuka ukatoa wimbo ambao ni mzuri tu lkn watu tumeuchukia kwasababu umeutoa ili kuu block wimbo wa kiba usivume kitu ambacho ni ushamba na unprofessional na badala yake imeback fire kwako, kama mtu wa kujifunza umejifunza next time usirudie, fanya kazi zako ww kama ww na siyo kwa mashindano. Beef halikufaidishi ila linamfaidisha mpinzani wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inanikumbusha akina Nasma na Khadija Kopa ilikuwa hivihivi ila walivyopotea na mziki wao huwezi amini
Diamond anatakiwa aanze kutumia akili sana kulikwepa hili beef laaivyo litamshusha na lishaanza kumugharim maana yule diamond wa my number one simuoni tena, tokea kiba arudi mond kawa kama kapanic iv. Inatakiwa atulize akili sana na itumike hasahasa la sivyo atapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sallam hana akili, lengo la kutoa zilipendwa walitaka wafikishe viewers million moja kabla seduce me haijafikisha. Ili wajitape mitandaoni. Ila sasa wameaibika. Seduce me imegonga 1M kabla yao. WBC huko walipo lazima confo limeshuka sana.
 
Sallam hana akili, lengo la kutoa zilipendwa walitaka wafikishe viewers million moja kabla seduce me haijafikisha. Ili wajitape mitandaoni. Ila sasa wameaibika. Seduce me imegonga 1M kabla yao. WBC huko walipo lazima confo limeshuka sana.
Sk sallam ndo atamdropisha mond maana naona anapenda sana maugomvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'A great game achieves a balance in the gameplay and mechanics, providing the right amount of encouragement and challenge to keep players going'

kila mtu apambane na hali yake! music is a game and chibu is the best at it.

Keep it up Diamond.
 
Niliwahi kuandika hapa tatizo la diamond ni malezi na mameneja ambao naona hawana nguvu juu yake ni tatizo kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcours yes!!
Mameneja naona kazi yao inataka kuwashinda wakae chini waumize kichwa. Hili beef sioni faida yyt kwao.

Jay z alikuwa na beef na Nas lkn baada ya kuona beef linamfaidisha Nas zaidi aliamua kulikwepa na kukaa pembeni na akaendelea kudili na mambo zake

Dogo anajua sana lakin naona kaanza kujichanganya sana miaka ya hiv karibuni plus uropokaji na kudhalilisha wanawake ni vitu vinavyo mpotezea sifa siku adi siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…