kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Ww diamond ni msanii mkubwa sana na ulikuwa umejijengea heshima kubwa sana kwenye jamii kutokan na kazi zako za mziki. Ni mtu ambaye ulikuwa una deel na kazi zako tu, ulikuwa siyo mtu wa mabifu na maugomvi mtu mnyenyekevu nakumbuka wasanii wenzio walikuwa wanakusem sana lakini ulikuwa unapiga kimy na kazi ndo zilikuwa zinaongea zenyewe.
Lakini kwa nini umebadirika ghafla maana siyo yule mond niliyemzoea umekuwa mropokaji, mtaka shari, kutukana na kudharirisha wanawake, uku ukijua kabisa hawo ndo mafansi zako wakubwa.
Kitu kingine ambacho sijapendezwa nacho ni hii tabia ulioianzisha ya kutaka uonekane ww tu hutaki wenzio wasikike, inajulikana kabisa ww na kiba haziivi na maadui zako wameunganish nguvu na kiba ili wakuumize kwa nn unashindwa kujiongeza na kutumia akili kujitenga na hilo beef, sikuona umuhimu wowte wa ww kuamua kuiblock ngoma ya mshindani wako kwa kuachia wimbo mda mchache baada ya yeye kutoa wimbo.,
Inajulikana kuwa tar 1 sep unatoa wimbo uloshirikiana na patoranking si ungesubiri muda ukafika ukatoa huwo wimbo. Na jinsi wimbo wa kiba ulivo mbovu ungekuw tayar ushajifia lakini cha ajabu umekurupuka ukatoa wimbo ambao ni mzuri tu lkn watu tumeuchukia kwasababu umeutoa ili kuu block wimbo wa kiba usivume kitu ambacho ni ushamba na unprofessional na badala yake imeback fire kwako, kama mtu wa kujifunza umejifunza next time usirudie, fanya kazi zako ww kama ww na siyo kwa mashindano. Beef halikufaidishi ila linamfaidisha mpinzani wako.
Sent using Jamii Forums mobile app