Ushauri kwa Diamond kama shabiki beef halikusaidii tumia akili kulikwepa

hello Diamond,

mwimbo wa zilipendwa ni mzuri,

bad timing,

Next time najua umejifunza,kutotoa single muda mfupi baada ya mwingine kutoa single yake,

binafsi nimeupenda,kushinda yule aliekopi wimbo wa descapito,lol sijui unaitwa hivyo,lol
 
Umepanick Broo...pole sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Pambana na hali yakoo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa napamban na hari yang usiku mwema msalimie shemeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hello Diamond,

mwimbo wa zilipendwa ni mzuri,

bad timing,

Next time najua umejifunza,kutotoa single muda mfupi baada ya mwingine kutoa single yake,

binafsi nimeupenda,kushinda yule aliekopi wimbo wa descapito,lol sijui unaitwa hivyo,lol
Management imekuwa ya kiswahili sana wakiongozwa na sallam sk siyo mtu mwema kabisa uyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hello Diamond,

mwimbo wa zilipendwa ni mzuri,

bad timing,

Next time najua umejifunza,kutotoa single muda mfupi baada ya mwingine kutoa single yake,

binafsi nimeupenda,kushinda yule aliekopi wimbo wa descapito,lol sijui unaitwa hivyo,lol
Hata aliyekopi IF ya davido na kuiita eneka..ahahaahaahaahah.

WAKALI WA HIZI KAZII....lazima muombe remix ya wimbo wa taifa sio kwa kabali hii ya seduce me......ahahhahaaa.

#tusichagulianeSILAHAhibinibitaMURRAH# Lete fyoko nipost bi mkubwa akiliwa denda.....

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Shida ya De ni baada ya karibuni kuwa na kashfa ya kukataa mtoto wa Hamisa.Alishindwa kujibu hoja ya kukanusha kama staa ndio maana unakuta watu wengi wamekuwa adui yake.Ajitafakari juu ya mwwnendo wake wa maisha ajiheshimu mambo yake ya mapenzi yaww private na sio ya Kila my.Mameneja wamsaidie kuchagua mambo ya kuwa public na private
 
Stress za zilipendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee nyuzi ngap zimeanzishwa kisa mondi.
Dogo yule si mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…