Ushauri kwa Diamond kuhusu Kurasa zake za social media

Hii ndo tanzania mtu badala ya kuleta mada zenye maana unaanza kuleta haya maumbea ila sidhan kama tutafika kwa staili hizi
 
ni sehemu ya maisha tu vumilia bwanah...na ww mbna hubadiliki kila siku tulete mada moto bwanh kuwa mpole hata siku moja moja basi
 
Kweli aisee na huyo Lavalava tumeshamuona inatosha kumpost kha!

Hapo kwenye interview nimepapenda ,yaani sio kila siku ana shinda clouds hata vipindi vya hivyo hovyo tu, mara leo tena mara kipindi gani sijui , we ni star tunataka tukumis hata ukihojiwa unajibu kitu sentensi moja umemaliza sio saa zima unapepeta tu mdomo
hapa nakuunga mkono bwanah ni kweli lakini ukiangalia ...hilo nalo nenoo
 
Tusiende mbali angalia akina Davido na Wizkid wakipost unasema kweli wamepost Sasa na wewe badirika sio kila kitu lazima upost vingine unaweza ukaacha Sisi Team zako tukapost....
ila kweli jamani looohhh...wenzake wanatulia sanah...akipost unakuta watu wanaleta gumzo
 
Mleta mada acha uongo, Chris Brown anaweka post moja kwa siku?
 
ila kwenye interview zake sometimes anaboagaaa kitu chakusema no/yes linajielezeaaaa kama shoga wamagomeni vile sasa kama juzi linasema eti wanawake wasanii wanaliwa sana ivi alishindwa kusema wasanii wakike wanapitia challenge nyingi yani hana tofauti na hawa waimba singeli. alafu alivyo bwege anajisifiaga yeye mswahili hasa ovyooo I don't like kiba ila namsalute the man is very classic haongei ovyo,hapost ovyo ndo maana hata TRA hawakimbizani nae ila uyu bwege akinunua kiatu tu kapost acha TRA wamkomeshe
yani natamani zari amuweke Benchi aendelee na uswahili wake na familia yake yakiswahiliiiiii kitu kidogo tu wote wanapost vijembe hadi mama uwiiiii hawaigi familia ya zari ilivyo classic kuanzia mama na watoto
 
Kweli aisee na huyo Lavalava tumeshamuona inatosha kumpost kha!

Hapo kwenye interview nimepapenda ,yaani sio kila siku ana shinda clouds hata vipindi vya hivyo hovyo tu, mara leo tena mara kipindi gani sijui , we ni star tunataka tukumis hata ukihojiwa unajibu kitu sentensi moja umemaliza sio saa zima unapepeta tu mdomo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] domooo tenga
 
ila kwenye interview zake sometimes anaboagaaa kitu chakusema no/yes linajielezeaaaa kama shoga wamagomeni vile sasa kama juzi linasema eti wanawake wasanii wanaliwa sana ivi alishindwa kusema wasanii wakike wanapitia challenge nyingi yani hana tofauti na hawa waimba singeli. alafu alivyo bwege anajisifiaga yeye mswahili hasa ovyooo I don't like kiba ila namsalute the man is very classic haongei ovyo,hapost ovyo ndo maana hata TRA hawakimbizani nae ila uyu bwege akinunua kiatu tu kapost acha TRA wamkomeshe
yani natamani zari amuweke Benchi aendelee na uswahili wake na familia yake yakiswahiliiiiii kitu kidogo tu wote wanapost vijembe hadi mama uwiiiii hawaigi familia ya zari ilivyo classic kuanzia mama na watoto
Usimtukane ila Mpe ushauri kishikaji tuuu....Mm ni shabiki wake! Ndio maana nimeamua kumpa ushauri
 
Back
Top Bottom