Ushauri kwa Diamond kuhusu Kurasa zake za social media

Ni kweli hili la leo neno mkuu! Dimond na team zake wachukuwe hii!

Mi nilikuwa namfolo insta, baada ya mwez nikaona hana kipya kabisaa, nikamtema!

Haiwezekan yy chochote anapost anapost kunakuwa hakuna tofaut kati ya Dimond na Gigymoneychangumzoefu.

Dimond post vitu vya maana bhna. Kwenye interview jibu kwa ufupi!..Najua ww dimond ni mtoto wa uswazi haswaaaa, ila waweza jaribu kupunguza uswahili ili mambo yawe sawa!

Hongera kwako dimond na mtoa mada, naiman kakusikia!
 
Same here[emoji122][emoji122]

Hakuna kitu kinanikera kwa diamond kama kupost hovyo.
acc ina followers 3m na ushee lakini likes anazipata kama akina 300k
mara kampost zari kutwa mara3 ,mara tiffa mara sijui nani, akianza matangazo post 20 matangazo zote kutwa moja!
mpaka picha yake unaitafuta!

anaweza post picha 10 same location; wtf
vitu vingine kama alivosema ndugu mleta mada atuachie sisi fans wake/Team yake ,nani ana team kubwa kama ya diamond africa..
ana supporters wengi sana!

ndio maana anakosa likes ,zikizidi sana50k
wenzie like mpaka laki moja

kwahili diamond amezidi sana ,na anaboa
abadilike msanii kaa hata siku2 weka post moja
lakini yeye asubui5 mchana5 usiku5! aaaghrrrrr
 
We bata kweli unauliza who is Gwajima? Kama humjui aliye mpost anamjua
 
Labda atajibu ni yake tumuache, ila una vipoint vizuri kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…