Habari wadau..
Zari kaja Tanzania kuzindua duka la gsm..
Ushauri tu kwa diamond na wcb management.. mtumie hiii fursa kupata kiki na kupiga hela...
Nawaza tu kama diamond akaenda mcity leo na mama yake na dada zake. wakapiga magoti kumuomba zari msamaa.. jinsi watakavyotingisha vyombo vya habari vya dunia nzima..
Itakuwa bonge ya kiki picha zitasmabaa mitandaoni wakiwa wamepiga magoti.. na kuteka akili za africa nzima wao kuwa stori kubwa.. na kupata bonge ya kiki..
Hiyo video ya msamaha wakaipost youtube.. wanapata viewers mamilioni.. na baada ya hapo anatoa nyimbo mpya...
Atapiga hela nyingiii balaaaa..
Na kuleta ladha asindikizwe na timu nzima ya WCB wakiwa wamepiga magotii..
Maisha ni ujanja ujanja.. diamond tumia firsa upige hela hadi waliopo fiesta wakulaaaniii...
Hata kama zari hatakusamehe ila mtafaidika sana wote.. kuanzia wewe, zari, watoto wenu na wcb kwa ujumla... siku moja utapiga hela ambayo mstaafu hawezi ipata hata afanye kazi miaka 40 serikalini