Ushauri kwa Diamond.. nenda mcity leo kamwombe zari na mashabiki msamaha.. kisha toa nyimbo upige hela

Ushauri kwa Diamond.. nenda mcity leo kamwombe zari na mashabiki msamaha.. kisha toa nyimbo upige hela

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau..

Zari kaja Tanzania kuzindua duka la gsm..

Ushauri tu kwa diamond na wcb management.. mtumie hiii fursa kupata kiki na kupiga hela...

Nawaza tu kama diamond akaenda mcity leo na mama yake na dada zake. wakapiga magoti kumuomba zari msamaa.. jinsi watakavyotingisha vyombo vya habari vya dunia nzima..

Itakuwa bonge ya kiki picha zitasmabaa mitandaoni wakiwa wamepiga magoti.. na kuteka akili za africa nzima wao kuwa stori kubwa.. na kupata bonge ya kiki..

Hiyo video ya msamaha wakaipost youtube.. wanapata viewers mamilioni.. na baada ya hapo anatoa nyimbo mpya...

Atapiga hela nyingiii balaaaa..

Na kuleta ladha asindikizwe na timu nzima ya WCB wakiwa wamepiga magotii..

Maisha ni ujanja ujanja.. diamond tumia firsa upige hela hadi waliopo fiesta wakulaaaniii...

Hata kama zari hatakusamehe ila mtafaidika sana wote.. kuanzia wewe, zari, watoto wenu na wcb kwa ujumla... siku moja utapiga hela ambayo mstaafu hawezi ipata hata afanye kazi miaka 40 serikalini
 
habari wadau..

zari kaja tanzania kuzindua duka la gsm..

ushauri tu kwa diamond na wcb management.. mtumie hiii fursa kupata kiki na kupiga hela...


nawaza tu kama diamond akaenda mcity leo na mama yake na dada zake. wakapiga magoti kumuomba zari msamaa.. jinsi watakavyotingisha vyombo vya habari vya dunia nzima..

itakuwa bonge ya kiki picha zitasmabaa mitandaoni wakiwa wamepiga magoti.. na kuteka akili za africa nzima wao kuwa stori kubwa.. na kupata bonge ya kiki..

hiyo video ya msamaha wakaipost youtube.. wanapata viewers mamilioni.. na baada ya hapo anatoa nyimbo mpya...

atapiga hela nyingiii balaaaa..

na kuleta ladha asindikizwe na timu nzima ya WCB wakiwa wamepiga magotii..

maisha ni ujanja ujanja.. diamond tumia firsa upige hela hadi waliopo fiesta wakulaaaniii...

hata kama zari hatakusamehe ila mtafaidika sana wote.. kuanzia wewe, zari, watoto wenu na wcb kwa ujumla... siku moja utapiga hela ambayo mstaafu hawezi ipata hata afanye kazi miaka 40 serikalini
du we kweli unamawazo hewa
 
Kama ni hivyo hatutompa kiki wala kutizama hiyo video YouTube,mimi ni Mtanzania halisi kukomoana ndo silka zetu.
 
Hawa ndio wanaingia mikataba hewa ya madini uzeeni
Yaaani aende na mama mzazi na dada wakamwangukie,,,kisa!!!!
Kiki,,,,ati vyombo vya habari...
Yaaani hujali MAADILI yako
Kwanza wewe unaishi na wazazi au CHOKORAA,,?
Hebu tuanzie hapo kwanza[emoji1321]
 
Akauze utu wa familia nzima hadharani kisa "kiki" , yaan Mama akampigie goti mwanamke uliyezaa nae kisa ume cheat, Ushauri wako una hitilafu mkuu labda aende yeye tuu.
 
Dai anapenda kiki ila kupigishana magoti sidhani kama anaweza Fanya uo ujinga kiki gani za kudhalilishana
 
Hata akipiga magoti na kuomba msamaha kosa bado lipo pale pale... Na mtoto yupo pale pale...


Nothing can be done, the damage has already be done...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom