Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwani kutoa ushauri kwa Diamond ni kwamba namchukia sana. Narejea majibu yako...[emoji1787]Kwani Mtu kutoa maoni yake ndiyo kwamba ameumia sana?
Na kwani kutoa ushauri kwa Diamond ni kwamba namchukia sana. Narejea majibu yako...[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alikulazimisha kufuata uzi wangu? Yaonekana huna uvumilivu kwenye kujibu hoja.Usinipotezee muda tafadhali sawa?
hivi wale wasanii wamarekani waliowahi kuja kwenye fiesta waliimba live?Wasanii wa Tanzania ni wavivu na wameshajua kuwa mashabiki wengi ni mazwzwa ndio maana anapanda jukwaani anaanza kuwaimbisha hovyo.
Hakuna mziki mzuri kama live perfomance ya vyombo.Raia watapiga makofi wenyewe na kunyoosha mikono juu ila sio hii ya kulazimishana
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kusema kuwa nampenda sana Diamond platnumz na nyota wote wa kundi la WASAFI.
Pia nawapenda nyota wote wa muziki wa Tanzania wakiwamo Navy Kenzo na Ali Kiba.
Nimekuwa nikisikiliza na kutazama muziki wa Tanzania kupitia YouTube na internet maana niko nje ya nchi.
Sijawahi kuhudhuria live performance ya Diamond Platnumz ama ya mwanamuziki yeyote yule wa Tanzania.
Kwa kutazama na kusikiliza records za Diamond Platnumz na wanamuziki wengine, muziki unavutia sana.
Lakini pia nimekuwa nikitazama videos za live performance za Diamond Platnumz.
Hapo awali nilidhani kule kukatisha katisha kuimba kila baada ya sekunde chache wakiwa jukwaani na kuwahamasisha watu waimbe ni editing tu. Kumbe ni halisi. Nimegundua baada ya tamasha ya WASAFI la Nairobi kulalamikiwa sana na waKenya.
Naomba Diamond Platnumz na nyota wote wa muziki wa Tanzania.
Jifunzeni kwa magwiji kama Michael Jackson na wengine namna bora ya live performance.
Wao hutumia muda mwingi kuimba na kucheza bila kukatisha na kutaka watu ndiyo waimbe. Ni mara chache sana hufanya hivyo.
Matamasha yenu yanaboa.
Iweje watu walipe kuja kuwaona mkiimba na kucheza live, mnaishia kuruka ruka na kutaka mashabiki ndiyo waimbe.
Msipojirekebisha mtapotea kwenye muziki.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndiyo Tanzania yetu. Ukitoa ushauri kwa serikali utaambiwa umetumwa ba mabeberu. Ukitoa ushauri kwa Ali Kiba utaambiwa wewe ni timu Diamond.Umeanza vizuri nikajua ni mshauri wa kweli....ila ulipoandika matamsha yenu yanaboa nikajua tayari ushatumwa na Team Kiba.
Hiyo ndiyo Tanzania yetu. Ukitoa ushauri kwa serikali utaambiwa umetumwa ba mabeberu. Ukitoa ushauri kwa Ali Kiba utaambiwa wewe ni timu Diamond.
Huwa sielewi kwa sababu gani huwa tunashindwa kuwa kwenye mada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu hacha hizo ww,ww kalale tu....ushaharibu mada yako.
Mbona maelezo yako haya yanaonyesha na hadi kuthibitisha kabisa kwamba Wewe siyo Mhudhuriaji na Mfuatiliaji mzuri wa Miziki hasa ya ( Live ) Mubashara kabisa? Hebu rudi tena kaa chini halafu fanya ' assignment ' yako vyema hasa kwa hao Wanamuziki wa huko Mamtoni ( Marekani / Ulaya ) uone kama hawafanyi kama akina Diamond na labda kwa kukusaidia tu ni kwamba hata hawa akina Ndomo ( Diamond ) na Wasanii wengi wa Kibongobongo nao hivyo unavyoona wanafanya ' Stejini ' kwa 100% wanawaiga hao hao ambao umewatetea kuwa huwa hawafanyi hivyo. Halafu Siku zingine acha Kuzunguka na ukweli ni kwamba una ' Chuki ' zako tu Ndomo ( Diamond ) japo umejitahidi mno kuwa ' very diplomatic ' katika ' Content ' yako nzima ya ' Uzi ' ili tusikushtukie.
Wenyewe eti wanaita "KUCHIZIKA", kwani mizuka kama hiyo hua haikupandi Shadeeya unapopagawishwa na wimbo unaokugusa sana?😀😀Wengine ndio raha yao kuimbishwa na ndio sababu hata wengine wanavuka mipaka hadi kuwashika hao wasanii makalio na mpaka kule kwa Babu.
Nimeipenda hiyo😀😀😀 NO COMMENT SES 🙈🙈
🙏🙏🙏Nimeipenda hiyo😀
Acha uongo,tumeshuhudia akina busta ryhmes,TI wakiafanya makubwa show za kufunga fiesta miaka ya nyuma!!!!
Mbona maelezo yako haya yanaonyesha na hadi kuthibitisha kabisa kwamba Wewe siyo Mhudhuriaji na Mfuatiliaji mzuri wa Miziki hasa ya ( Live ) Mubashara kabisa? Hebu rudi tena kaa chini halafu fanya ' assignment ' yako vyema hasa kwa hao Wanamuziki wa huko Mamtoni ( Marekani / Ulaya ) uone kama hawafanyi kama akina Diamond na labda kwa kukusaidia tu ni kwamba hata hawa akina Ndomo ( Diamond ) na Wasanii wengi wa Kibongobongo nao hivyo unavyoona wanafanya ' Stejini ' kwa 100% wanawaiga hao hao ambao umewatetea kuwa huwa hawafanyi hivyo. Halafu Siku zingine acha Kuzunguka na ukweli ni kwamba una ' Chuki ' zako tu Ndomo ( Diamond ) japo umejitahidi mno kuwa ' very diplomatic ' katika ' Content ' yako nzima ya ' Uzi ' ili tusikushtukie.
Ktk Fiesta zote Busta pekee ndiye aliyefanya vizuri huyo TI alifanya hovyo na wote walitumia play back.Wasanii wa nje waliopiga na live band ni Shaggy na Sean Paul, ila show ya Shaggy ilikuwa kali kuliko ya Sean Paul.Acha uongo,tumeshuhudia akina busta ryhmes,TI wakiafanya makubwa show za kufunga fiesta miaka ya nyuma!!!!
Angalia show za Fally Ipupa utaelewa mtoa mada anamaanisha nini!
Hivi kwanini tanzania yetu ukimshauri mtu unaonekana una chuki naye?Hapana sina chuki na Diamond Platnumz hata kidogo.
Napenda sana muziki wake.
Napenda afanikiwe ndiyo maana nimetoa ushauri.
Nimefuatilia wakenya walivyochukizwa na namna alivyotumbuiza. Imenisikitisha.
Wewe kumuita "domo" si ubinadamu.
Sitaki juhudi zake zije zianguke.
Sent using Jamii Forums mobile app