Ushauri kwa Diamond Platnumz

Taratiibu baba. Ushauri si ugomvi. Diamond kafika hapo alipo kwa kufanyia kazi ushauri wa watu mbalimbali. Ndio maana ana management inayomwongoza na kumshauri. Sina wasiwasi na ushauri huu ataufanyia kazi. Watu kama wewe hawawezi kuwa na msaada kwake kwa kuwa ni shabiki mihemuko.
 
Umelazimishwa kucomment?
Unadhani kuimba ni sawa na kuwa kwenye keyboard?
Halafu inategemea mkataba unasemaje utumie playback au uimbe live
Huyo Diamond hajapumzika toka january,mara yupo sumbawanga,kesho yupo new york sauti.itatoka wapi?
Wewe unatakiwa uwashauri ma promoter watafute siku ambazo.msanii hana uchovu,vinginevyo wakilazimisha live hayo ndio matokeo,au hujawahi kusikia songombingo ukumbini mwanamuziki kaingia saa 8 kapiga nyimbo mbili kashuka?sababu ya uchovu
 
Wakati mwingine ukitaka kutoa ushauri angalia (balancing ya matukio) unayempa ushauri eneo hilo amekosea mara ngapi.
Mimi nimesoma comments za Bujumbura na Kigali tu, kwa Marekani sijui mkuu.
 
Taratibu ipi yaani ni sawa na kumshauri mtu anayeshika namba moja kila siku afanye vizuri,huku mkiwaacha wa namba za chini.

Kwa hiyo hao wanaomwitaji kila siku kwenye show zao hawajui mziki,ila ww ndiye unayejua?
 
Taratibu ipi yaani ni sawa na kumshauri mtu anayeshika namba moja kila siku afanye vizuri,huku mkiwaacha wa namba za chini.

Kwa hiyo hao wanaomwitaji kila siku kwenye show zao hawajui mziki,ila ww ndiye unayejua?
Kwa nini wasiwe wanamwita q-chilla au chid benz
 
Hapa sasa umeongea kiutu uzima na umeeleweka.Si kama ulivyocomment hapo juu.
 
Tumeshachoka bana kila mara ushauri kwa Diamond platnumz,ushauri Diamond platnumz,Hivi hakuna wasanii wengine wa kuwapa huo ushauri mpaka yeye tu kila mara,Kama nyie ni mabingwa wa kutoa ushauri sio mzishauri familia zenu huko, madada zenu wanashinda wanagongwa tu na kuzalia nyumbani lakini ushauri hamuwapi unakuja kumshauri mtu ambaye hakujui itakusaidia nini wewe.
 

Mkuu tunakubali pengine viwango vyake si kama vya Rubi lakini hili la show hadi kuzorota ni uongo ulio uchi.....
Weka hapa mfano wa show tuone na tuchambue kwa masikio yetu au weka hapa clip ya show ya burundi iliyo zorota!

Nilitegemea umwambie kuwa aongeze bidii sio kumshauri aache kabisa....hebu niambie akiacha ataweza lini kwenye viwango unavyo taka wewe?
 

Hahahaha Sasa nchi hii kuna msanii bora zaidi ya Diamond? Sasa wengine awape ushauri wanini ikiwa hapati muda wa kuwasikiliza na hawasikiliziki?
 
Labda presentation haikuwa clear. Nilimaanisha ajinoe zaidi kwenye eneo hilo au inapobidi apige background music hasa kwa zile nyimbo ambazo hazina midundo ya vibe.
 
Kuwa serious basi mkuu. Binafsi nampenda jamaa, ila ningependa hilo pungufu alifanyie kazi.
Badala ushauri afanye mazoezi zaidi .

Unataka kijana arudi kwenye playnack ambao ni mziki wa kitapeli dhidi ya viingilio vya wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…