Kila siku mnaongea yale yale na chuki zenu,lkn wenzenu walio wengi wanao mwitaji wanajua wanapata nini kutoka kwa Diamond Platnumz,miaka miwili mfululizo show zaidi ya 180 na kila siku anaongeza idadi ya nchi sasa hivu anahamia nchi zinazoongea kifaransa (Gunea,Siera leone,Cameroon,Senegal hii ni effect ya INAMA).
Cha msingi ujiulize kwa nini wale unaowajua ww wanasauti nzuri lakini hawapati show,ungewasaidia kuliko kumponda msanii ambaye ana show mfululizo.USICHOKIPENDA WW USIKITIE HILA KUNA WENGINE WANAKILILIA ndio maana jamaa and utitiri wa show.