Ushauri kwa Diamond: Unatia aibu, achana na Makonda anakuharibia sana

Umemsahau na SUGU.
 
Maskin pole sana hadi unalia jaman kisa makonda jaman
Lazma afaidi maana ntampumuliaje kisogonii....maana kila siku naona matangazo kuwa jamaa zimehamia nyuma....anatoa nukta. Ila mi sitamuonga ford, bmw wala v8, hata nauli simpi...

Aisee povu lote hili pole jamani wivu mbaya. Hahaha handsome makonda anakunyima raha
 
Safi sana, haya majitu yanachosha yaani kutwa kumsema mtu
 
Makonda amewasababishia hasara wale jamaa {wazee wa UKUTA} hakika hawafanyi kazi kutwa wao ni Makonda tu sisi tunapiga kazi.
 

Nani amekwambia CHADEMA wote tunampinga Bashite hii ni VITA ya dawa za kulevya tunapigania maslahi ya vijana wetu mimi ni miongoni mwa wanaM4C tunamuunga mkono BASHITE achaneni na upuuzi wa vyeti Tunapiga vita Dawa za kulevya kwanza
 
Hivi washaibiki wa D halafu ma hater wa Bashite na wale ambao ni washabiki wa D lakini chadema, siwanapata wakati mgum sana!
 

You are very cheap Person and jealousy Person for that matter. Tangu nimeingia Jf. Juzi tu hapo by the way. Nimegundua nilichokuwa nawaza kuwa kuna Great minds nimekosea sana. Mana topic za humu ni kudiscuss people. Na Pengine nikisema kudiscuss ninakosea. Mana discussion ina involves. Positives Negatives and conclusion based on the challenges zilizojitokeza. Now why are you so obviously cheap and narrow minded:. 1. Diamond ni msanii na mtu huru. 2.Makonda mnamtuhumu mitandaoni tena baada ya kuanza vita vya madawa (whatever the method) 3 sheria inasema innocent until proven guilty .4.nchi hii haijakataza watu kuwa marafiki. Sooooo kinachoonekana kwako. Moja unaonekana mshabiki wa Ali kiba. Pili. Kama hujatumia madawa basi utakuwa mfaidika kwa maana ya salio au muhusika fulani .tatu. Una chuki na Diamond au Makonda kwa sababu zako binafsi. So unakosa moral authority ya kutoa fair judgement ya jambo lolote kuhusu Diamond
 
HHahahaaa ameota mapembe
 
Nani amekwambia CHADEMA wote tunampinga Bashite hii ni VITA ya dawa za kulevya tunapigania maslahi ya vijana wetu mimi ni miongoni mwa wanaM4C tunamuunga mkono BASHITE achaneni na upuuzi wa vyeti Tunapiga vita Dawa za kulevya kwanza
Safi sana mkuu wewe kweli nimzalendo
 
Hivi washaibiki wa D halafu ma hater wa Bashite na wale ambao ni washabiki wa D lakini chadema, siwanapata wakati mgum sana!
Na hao ndio wenye akili timamu, wanajua wanachokishabikia kwa Diamond si maisha yake bali mziki wake, tupo wengi tu wa aina hiyo.
 
Kama sio u karibu na mkuu unadhani angeachwa kwenye ile list

Mwache arudishe fadhila mkuu
Kupi tia tale na Salam
 
Na hao ndio wenye akili timamu, wanajua wanachokishabikia kwa Diamond si maisha yake bali mziki wake, tupo wengi tu wa aina hiyo.
Jirani mpaka sasa siamini kama mmeachwa kwenye ile list
Kweli mchawi mpe mwanao akulelee
 
Sijakuelewa Unaposema Diamond Aachane na Makonda?

Kwanza Makonda kafanya Lipi baya? Ambalo litamuharibia Diamond? Usisahau kuwa MAKONDA ndie Mlezi wa WCB tangu huhasikia Hizo tetesi za kutumia Vyeti ambavyo si vyake na WCB ilizidi kuimarika kila sikuu

Makonda amekuwa mlezi wa WCB kitambooooo......Kamtaja Romy Jonson na Bado maisha yanaendelea!!!

Wasanii kujihusisha na Mambo ya kijamii ni kitu cha kawaida sanaaaaaa.....ninapata mashaka kwako ww ukifanikiwa inaonekanaa utawaona wote waliopo chini yako ni Mavi! Kama Rais wa Nchi anamuunga Mkono kwa anayo yafanya Makonda kwani Kuna Tatizo gani kwa Diamond kumuunga Mkono.....Wangapi wapo Bungeni lakini ni Failure zaidi na bado kuna wasanii wanawaunga mkono

Nyie Makonda mchukieni ilaa anayo yafanya ni 100% tunaunga mkono
 
Jirani mpaka sasa siamini kama mmeachwa kwenye ile list
Kweli mchawi mpe mwanao akulelee
Hahha Jirani naona sala zako zote ulielekeza upande huu. Hatuhusiki ndio maana [emoji6] [emoji6]
 
Eeeeeeh

Ha ha haaaaa

hao jana juzi nimewachunia kuwajibu ndio umeona wakapoa. quotes over 200 jana asubuhi in less than 24 hrs nikasema sasa sizisomi, jana usiku nimeibuka nao wameanza tena na wanahasira na mimi eeeh
Hahahaha
Ujue una nifurahishaga vile una fight, yaan mi huwa nacheka sana.

Ime fika stage uzi wa Bashite bila uwepo wako haunogi
 
Hahahaha
Ujue Mondi juzi kaonekana kutaka yaishe
Heeee! Bwana Kiba aloko tokea huko akaonesha bado ana interest kabisa ya bifu.
Labda bifu lina m keep alive[emoji1]
Ngoja waje naona unawaita kwa kasi.....ukweli always haupendwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…