Ushauri kwa Diamond: Unatia aibu, achana na Makonda anakuharibia sana

Unataka afanye km wema sio ndo uje umpongeze humu
 
Akiacha atamsakama kuwa wasafi ni wauza ngada ndiyo maana anaogopa kumtosa
 
Domo uwezo wake wa kufikili mdogo kwanza elimu yake na bashite ni sawa wote wanaongoza kupata sifuri
Lakini hio sifuri haijamuathiri kapambana hadi kawapita au kuwa sawa na waliokuwa vipanga shuleni.
 
Jifunze kuvumilia usichokipenda sio kila unachopenda lazima watanzania wote wakipende huo ni ubinafsi na udictator pia.
 
Jifunze kuvumilia usichokipenda sio kila unachopenda lazima watanzania wote wakipende huo ni ubinafsi na udictator pia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa hayo si maoni yangu

Ku niita dikteta umenionea bhana
 
Nadhani wasanii wengi hawajui kuishi kama professionals, huwa nashangaa sana wanaposhabikia political parties; ikiwemo Ccm. It's amazing!
 
Domo uwezo wake wa kufikili mdogo kwanza elimu yake na bashite ni sawa wote wanaongoza kupata sifuri
Acha wivu wa kike, dai ana uwezo mkubwa kukushinda, ni kijana mdogo katoka kwenye zero to hero, from tandale mpaka sasa karibu dunia nzima inamjua..... halafu unasema uwezo wa kufikiri ni nini?.....
 
Nadhani wasanii wengi hawajui kuishi kama professionals, huwa nashangaa sana wanaposhabikia political parties; ikiwemo Ccm. It's amazing!
Basi wasioujua ni wengi sana hadi marekani kwa sab tumeshudia wasanii wa marekani walivyoonyesha mapenzi kwa vyama vilivyopambana kuwania urais hasa democratic na republican.
 
Angekuwa kiba nadhani tungeona matusi mapya humu leo hhhhh
 
Cocochanel makonda kakupa nini? Hebu ning'ate sikio hata kwa Private Message basi

Na like nimekupa duh

Hatujuani.

Ila inabidi sababu watunga uongo hawana akili za kudanganya na hizo div 1 zao

Ha ha haaaaaaaaaaaaaa
 
Mond unajichanganya,utapunguza mashabiki,kujiingiza kwenye mambo ya siasa,mie nakubali sana kazi zako na mpenzi wako mkubwa nakukubali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…