Ushauri kwa Diamond: Unatia aibu, achana na Makonda anakuharibia sana


Watanzania tunajipaga upofu was mahaba. Waliomtajirisha na kumpa mafanikio ni haohao wauza unga, na system ya mafisadi.
Watu wakiangalia wanasema ni jasho lake. Of course ni jasho la kujipendekeza, in other words, juzi mkulu kamwambia amefurahi kumuona yeye ni "Chama cha mapinduzi".

Kama sio njaa za dai ni kitu gani kinamfanya ajiingize kwenye siasa?
Mbona wakina Joh makini wako neutral.

Pia upande mwingine wanasiasa hua wanajikomba kwa msanii ili tu waweze kupata shavu kwa wananchi.
So wana symbiotic relationship.
 
movie limefikaa pamotooooooo ngoja nione nan ataanza kuliaaa
 
Wazee wa ngada pigeni kimya basi mnatuchosha sasa
 
Ki
kijana anapotea huyu..shauri ake
 
Eti jasho la kujipendekeza daah watu MNA maneno
 
KIDOGO NIMTAFUNE NYAMA!

kaniwuziiiiii!
 
Ukiwa mwamuziki ficha hisia zako za siasa kwa sababu una mashabiki toka vyama mbalimbali vya siasa. Diamond jiepushe ba ishu hizi za kisiasa, ukipuuza wanayokwambia mashabiki wako na watu wenye busara utakuja kulia kilio ambacho hutopata wa kukufuta machozi. Siasa ni mchezo mchafu umakini waitajika. Umeona yanayomuandama RC ambaye kabla ya hayo alionekana kama shujaa!
 
Akie

Akiendelea kumsapoti Huyo R.C never mimi kwenye maisha yangu kumsapoti Diamond
 
...Ni ileile oh ni ileileeee....mwaka huu wataisomaaa....
 
Wewe ni nani wa
Wewe ni nani wa kumchagulia Diamond marafiki?!?!?! Kwani Diamond ni mtoto mdogo? hata watoto huchagua wenyewe marafiki!
 
Ni upuuzi kutaka Diamond aishi kwa kukuridhisha wewe na bavicha, ni upuuzi wa kiwango cha juu, kwenye sherehe kaenda na atarndelea kupeta kwa raha zake sio za mwingine!!
Who is Bavisha
 
Utabiri unatimia, tokea ametoa ule upuuzi wake 'nikae kimya' wenye akili tulisha mpuuza, ndio maana hata hizo ngoma zake3 alizoachia hivi karibuni umma haukuzipa uzito japo sio mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utabiri unatimia, tokea ametoa ule upuuzi wake 'nikae kimya' wenye akili tulisha mpuuza, ndio maana hata hizo ngoma zake3 alizoachia hivi karibuni umma haukuzipa uzito japo sio mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond anapaswa aache kuimba kwa miaka kama miwili hivi kwanza.
 
Wakati naanza kutumia jamii forum niliambiwa it's a home of great thinkers...but kwa hiki nachokiona sidhani kama kuna haja kabsa ya kujipa hii sifa...naona kumejaa umbea ,unafiki,utimu,uzumbukuku na mambo ambayo ni ya aibu...sioni uthinkers humu kabsa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe umecomment nini hapa kama sio kuanika ubashite wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…