Ushauri kwa Diamond: Unatia aibu, achana na Makonda anakuharibia sana

Mchafu ni yeye au wewe?

Anajuana nae miaka mingi, ulikuwa wapi kumshauri au umeona nini kibaya kimemtokea Diamond. Jembe la Taifa Mh. Makonda yupo juuuuuuuuuu

Acha wivu, uvivu na tamaa

Yaani unamfikiria Makonda hadi kuingilia maisha yake kila upande. Embu ishi kivyako wewe na wenzako wote

Mnamchafua mnashindwa, unakuja kuanza kuingilia maisha ya watu.

Umeandika upupwu haswa, fikiria maisha yako yasonge acha wivu.

Na bado

Makonda oyeeeeee
Hahahah

Yaani nisingekuona hapa ningeandamana peke yangu walahi

uzi wowote unaomhusu bashite lazima nitafute comment yako

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
D alizunguka nchi nzima kukata viuno kwenye kampeni CCM bila hivyo naye angekuwa mmojawapo wa kutangazwa hadharani na Bashite kwa kujihusisha na unga.

Ukaribu wake na Bashite haina maana kuwa Bashite ni msafi bali ni kwa ajili ya kujilinda ili Bashite asije akaweka mambo hadharani,wakati Bashite mwenyewe ana ogopa kufanya hivyo kwa kukumbuka fadhila za viuno vya D alivyokata nchi nzima kwenye kampeni za CCM.
 
Diamond umehangaika kujenga brand yako sana.kitendo ulichofanya juzi kutokea kwenye sherehe ya makonda ya kutimiza mwaka mmoja wa Makonda umejishusha sana. Makonda ni mchafu sana kwa aliyoyafanya. Usidhani anapingwa na chadema tu..hata sisi CCM tunataka aondolewe.

Diamond umekosa nn? Unamashabiki wengi sana..!! Usipende kujihusisha na chama hasa na watu km makonda ambao wameshafuka. Unamashabiki wengi sana waliopo ccm, ukawa, na wasio na vyama. Acha kujipendekeza kijana jiamini..!! Makonda anakuzidi nini cha ziada..!! Makonda hakufikii kwa chochote. Makonda ni liability kwako ..not asset km unavyodhani.

Makonda acha kutumia mgongo wa wasanii kujisaficha hauwezi ukawa msafi tena. Kwanza umedanganya umma kuhusu jina lako, unatumia Cheti siyo chako. Chama kinapitia wakati mgumu kwa sababu yako. Umemfanya Rais anaonekana ana double standard kisa wewe.

Suala siyo ziro..suala ni kitumia Cheti cha MTU.

Diamond achana na makonda na mambo ya vyama. Makonda huyu ambaye akifika hata marekani anapiga picha..ushamba mzigo..!! Diomomd wewe siyo tid, wewe siyo yule mzee kijana mtoto wa malechela ambaye hajielewi.

Diamond kuwa mjanja basi. makonda anakutia aibu. Punguza kujifanya wewe ccm..wewe siyo ccm ..wenye ccm hawana makeke hivyo, wametulia kimya..!! Watakutumia tu. Hata juma nature na marlaw walikuwa ccm. Wewe ni asset..

Diamond unakuwa km bashite na wewe.
Kwa hili mnamuonea bure Diamond, hivi kati ya Diamond na sheikh mkuu wa Darisalama na Askofu ni nani anapaswa kujitambuwa na kuonesha mfano kwa jamii?

Na usikute wewe bado unapeleka pesa zako msikitini na kanisani kutowa sadaka ili wanafki hawa waendelee kuzitafuna.
 
Domo uwezo wake wa kufikili mdogo kwanza elimu yake na bashite ni sawa wote wanaongoza kupata sifuri
 
Hahahah

Yaani nisingekuona hapa ningeandamana peke yangu walahi

uzi wowote unaomhusu bashite lazima nitafute comment yako

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Jamaa ajielewe yule
 
Wajinga nyie lengo lenu mnataka nae amfuate wema haendi hata kwa dawa kwa nn ashabikie chama kilichokosa muelekeo wakat CCM ipo? Tunajua mnaumia sana mwachen mond na mkuu wa mko hayawahusu
 
Suala siyo kubakia ccm..
 
Diamond umehangaika kujenga brand yako sana.kitendo ulichofanya juzi kutokea kwenye sherehe ya makonda ya kutimiza mwaka mmoja wa Makonda umejishusha sana. Makonda ni mchafu sana kwa aliyoyafanya. Usidhani anapingwa na chadema tu..hata sisi CCM tunataka aondolewe.

Diamond umekosa nn? Unamashabiki wengi sana..!! Usipende kujihusisha na chama hasa na watu km makonda ambao wameshafuka. Unamashabiki wengi sana waliopo ccm, ukawa, na wasio na vyama. Acha kujipendekeza kijana jiamini..!! Makonda anakuzidi nini cha ziada..!! Makonda hakufikii kwa chochote. Makonda ni liability kwako ..not asset km unavyodhani.

Makonda acha kutumia mgongo wa wasanii kujisaficha hauwezi ukawa msafi tena. Kwanza umedanganya umma kuhusu jina lako, unatumia Cheti siyo chako. Chama kinapitia wakati mgumu kwa sababu yako. Umemfanya Rais anaonekana ana double standard kisa wewe.

Suala siyo ziro..suala ni kitumia Cheti cha MTU.

Diamond achana na makonda na mambo ya vyama. Makonda huyu ambaye akifika hata marekani anapiga picha..ushamba mzigo..!! Diomomd wewe siyo tid, wewe siyo yule mzee kijana mtoto wa malechela ambaye hajielewi.

Diamond kuwa mjanja basi. makonda anakutia aibu. Punguza kujifanya wewe ccm..wewe siyo ccm ..wenye ccm hawana makeke hivyo, wametulia kimya..!! Watakutumia tu. Hata juma nature na marlaw walikuwa ccm. Wewe ni asset..

Diamond unakuwa km bashite na wewe.
Chipa umeongea ukweli na kwa hisia kali sana, kweli kijana amekuuma.
 
Diamond ana mkwanja mlefu kuliko Bashite, Bashite analipwa milioni 5 tu kwa mwezi mzima,diamond ukifanya shoo moja unaweza piga hadi milioni 30.Sasa Bashite wa nini? Achana na siasa diamond wewe sio ccm wala ukawa wewe ni mwanamuziki.
Ukijifanya unajiingiza kuvaa mashati ya kijan utapotea ndugu yangu.
 
Shule nayo ni Muhimu sana, Wewe unadhani mtu kama Niki Wa pili aka Nikki Mbishi anaweza fanya ujinga huu!!! Wazazi wapeleke Watoto shule!!!
 
Diamond ana mkwanja mlefu kuliko Bashite, Bashite analipwa milioni 5 tu kwa mwezi mzima,diamond ukifanya shoo moja unaweza piga hadi milioni 30.Sasa Bashite wa nini? Achana na siasa diamond wewe sio ccm wala ukawa wewe ni mwanamuziki.
Ukijifanya unajiingiza kuvaa mashati ya kijan utapotea ndugu yangu.
Ushauri murua
 
Ukiona mambo yako yananyooka, shikilia hapo hapo, maana wengine wanakupa ushauri usio na maana kwako! Usiache mtu akaku derailed!
 
Back
Top Bottom