BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Huyu jamaa kwa influence aliyonayo bavicha mnakosa usingizi kabisa kwa nini yuko upande wa pili.diamond wa miaka ya 2015 kurudi nyuma sio huyu wa Leo, amepukutika,
HahahahMchafu ni yeye au wewe?
Anajuana nae miaka mingi, ulikuwa wapi kumshauri au umeona nini kibaya kimemtokea Diamond. Jembe la Taifa Mh. Makonda yupo juuuuuuuuuu
Acha wivu, uvivu na tamaa
Yaani unamfikiria Makonda hadi kuingilia maisha yake kila upande. Embu ishi kivyako wewe na wenzako wote
Mnamchafua mnashindwa, unakuja kuanza kuingilia maisha ya watu.
Umeandika upupwu haswa, fikiria maisha yako yasonge acha wivu.
Na bado
Makonda oyeeeeee
Si ajabu amri ilitoka kwa Kinje kuwa lazima ahudhurie.diamond nae anauza unga wote dugu moja
Kwa hili mnamuonea bure Diamond, hivi kati ya Diamond na sheikh mkuu wa Darisalama na Askofu ni nani anapaswa kujitambuwa na kuonesha mfano kwa jamii?Diamond umehangaika kujenga brand yako sana.kitendo ulichofanya juzi kutokea kwenye sherehe ya makonda ya kutimiza mwaka mmoja wa Makonda umejishusha sana. Makonda ni mchafu sana kwa aliyoyafanya. Usidhani anapingwa na chadema tu..hata sisi CCM tunataka aondolewe.
Diamond umekosa nn? Unamashabiki wengi sana..!! Usipende kujihusisha na chama hasa na watu km makonda ambao wameshafuka. Unamashabiki wengi sana waliopo ccm, ukawa, na wasio na vyama. Acha kujipendekeza kijana jiamini..!! Makonda anakuzidi nini cha ziada..!! Makonda hakufikii kwa chochote. Makonda ni liability kwako ..not asset km unavyodhani.
Makonda acha kutumia mgongo wa wasanii kujisaficha hauwezi ukawa msafi tena. Kwanza umedanganya umma kuhusu jina lako, unatumia Cheti siyo chako. Chama kinapitia wakati mgumu kwa sababu yako. Umemfanya Rais anaonekana ana double standard kisa wewe.
Suala siyo ziro..suala ni kitumia Cheti cha MTU.
Diamond achana na makonda na mambo ya vyama. Makonda huyu ambaye akifika hata marekani anapiga picha..ushamba mzigo..!! Diomomd wewe siyo tid, wewe siyo yule mzee kijana mtoto wa malechela ambaye hajielewi.
Diamond kuwa mjanja basi. makonda anakutia aibu. Punguza kujifanya wewe ccm..wewe siyo ccm ..wenye ccm hawana makeke hivyo, wametulia kimya..!! Watakutumia tu. Hata juma nature na marlaw walikuwa ccm. Wewe ni asset..
Diamond unakuwa km bashite na wewe.
Jamaa ajielewe yuleHahahah
Yaani nisingekuona hapa ningeandamana peke yangu walahi
uzi wowote unaomhusu bashite lazima nitafute comment yako
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Suala siyo kubakia ccm..Wajinga nyie lengo lenu mnataka nae amfuate wema haendi hata kwa dawa kwa nn ashabikie chama kilichokosa muelekeo wakat CCM ipo? Tunajua mnaumia sana mwachen mond na mkuu wa mko hayawahusu
Chipa umeongea ukweli na kwa hisia kali sana, kweli kijana amekuuma.Diamond umehangaika kujenga brand yako sana.kitendo ulichofanya juzi kutokea kwenye sherehe ya makonda ya kutimiza mwaka mmoja wa Makonda umejishusha sana. Makonda ni mchafu sana kwa aliyoyafanya. Usidhani anapingwa na chadema tu..hata sisi CCM tunataka aondolewe.
Diamond umekosa nn? Unamashabiki wengi sana..!! Usipende kujihusisha na chama hasa na watu km makonda ambao wameshafuka. Unamashabiki wengi sana waliopo ccm, ukawa, na wasio na vyama. Acha kujipendekeza kijana jiamini..!! Makonda anakuzidi nini cha ziada..!! Makonda hakufikii kwa chochote. Makonda ni liability kwako ..not asset km unavyodhani.
Makonda acha kutumia mgongo wa wasanii kujisaficha hauwezi ukawa msafi tena. Kwanza umedanganya umma kuhusu jina lako, unatumia Cheti siyo chako. Chama kinapitia wakati mgumu kwa sababu yako. Umemfanya Rais anaonekana ana double standard kisa wewe.
Suala siyo ziro..suala ni kitumia Cheti cha MTU.
Diamond achana na makonda na mambo ya vyama. Makonda huyu ambaye akifika hata marekani anapiga picha..ushamba mzigo..!! Diomomd wewe siyo tid, wewe siyo yule mzee kijana mtoto wa malechela ambaye hajielewi.
Diamond kuwa mjanja basi. makonda anakutia aibu. Punguza kujifanya wewe ccm..wewe siyo ccm ..wenye ccm hawana makeke hivyo, wametulia kimya..!! Watakutumia tu. Hata juma nature na marlaw walikuwa ccm. Wewe ni asset..
Diamond unakuwa km bashite na wewe.
HahahaLabda na yeye amebanwa na kitu fulani au analipa fadhila ya kufanyiwa mpango wa kuongea na Rais 360
Ushauri muruaDiamond ana mkwanja mlefu kuliko Bashite, Bashite analipwa milioni 5 tu kwa mwezi mzima,diamond ukifanya shoo moja unaweza piga hadi milioni 30.Sasa Bashite wa nini? Achana na siasa diamond wewe sio ccm wala ukawa wewe ni mwanamuziki.
Ukijifanya unajiingiza kuvaa mashati ya kijan utapotea ndugu yangu.