Ushauri kwa Diamond: Unatia aibu, achana na Makonda anakuharibia sana

Ndege wafanano huruka pamoja.

Bashite ndio mlezi wa Wcb.
 
Handsome anawavutia pumzi tu,vyeti keshapeleka kwa wahusika.

Kiba bana nasikia jana kamkatia simu sam misango hahaha kisa yupo majuu au maswali yalimboa!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Uwa nahisi kiba ni moja ya watu wagumu kuwa nao karibu duniani
 
Le baharia kaishi ulaya u know ana vyeti vingi mpaka vingine vimeshaliwa na panya hahahah ila hamzidi hb makonda kijana wa mwanza kuitawala dar jiji la wanaojiita wanjaja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MSAGA SUMU aliseme le Baharia ni msomi wa PhD.

Na le baharia naye ni kama deouty RC maana si kwa povu lile analo toa akigusiwa Bashite
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Uwa nahisi kiba ni moja ya watu wagumu kuwa nao karibu duniani
Simpendi alikiva hata kidogo tabia zake alivyo.
Mkuu siku zote
Watu weupe ambao wamechanganya rangi hua wanamatatizo. Jaribu kuchunguza hilo
 
Acha kabisa lazima tumtetee bosi maana akianguka na dar itatikisika kila kona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MSAGA SUMU aliseme le Baharia ni msomi wa PhD.

Na le baharia naye ni kama deouty RC maana si kwa povu lile analo toa akigusiwa Bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…