Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Handsome anawavutia pumzi tu,vyeti keshapeleka kwa wahusika.
Kiba bana nasikia jana kamkatia simu sam misango hahaha kisa yupo majuu au maswali yalimboa!
Kiba bana nasikia jana kamkatia simu sam misango hahaha kisa yupo majuu au maswali yalimboa!
Hahaha
Kiba kumaliza bifu
Ni kama kumwambia hendsam wako Bashite atoe vyeti.
Ni kumnyima ugali hapo sasa.