Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najuwa una hasira sana kutokana na kushindwa kwa dkt.Slaa.Juwa kwamba hasira zako hazitoweza kubadili mfumo uliopo..Think Big, we Ami nadhani unaurojo kichwani kwako si bure, unadhani wewe unaweza kuwa miongoni mwa washauri wa Dr Slaa kweli, umejidanganya kajipange upya, ujifunze vizuri kwa makini sana kuhusu Dr S, sio kukurupuka toka usingizini na kusema haja komaa kisiasa huyo Seif wako A.k.A Sawa sawa? Ndo umemuona kakomaa sijui uliamkia wapi na hoja zako zisizoeleweka. Utabaki hivohivo. Ushauri wangu kwako. UKIBADILIKA KUWAZA KWAKO, UTABADILIKA KUISHI KWAKO.
Babuu hii ni Tanzania bara; siyo zanzibar; hebu jaribu umweke dr akale dona uone! patachimbika hapa! don't bring these stories here; here is a different situation! talk senseNajuwa una hasira sana kutokana na kushindwa kwa dkt.Slaa.Juwa kwamba hasira zako hazitoweza kubadili mfumo uliopo..
Kama dkt.Slaa atakuwa na nafasi ya kuchagua mshauri hatopata kati yetu aliye bora kuliko mimi .Usikatae kwamba dkt Slaa hajakomaa kisiasa.Mengi aliyoyaona yamemshangaza sana na hakutarajia kuwa yangeweza kutokea.
Dkt.Slaa hajapata uchungu wa kushindwa au kudhulumiwa kuliko Seif.Dkt.Slaa hajawahi kula dona la jela na sijui iwapo anaweza kulila.Kuna mengi ya kujifunza kwa Seif.
Mimi si msemaji wa Seif lakini naamini kwa vile ameamua mambo mawili amekubali kuvaa baibui na kuvua baraghashia.Mambo aliyoamua ni kuwatumikia watu wake na kuepusha madhara kwao.atampata wapi Seif na sasa amewekwa ndani kishavuliwa kanzu na barghashia, na kuvikwa baibui! please give us a break!
Binafsi sikukupigia wewe kura yangu ingawaje niliwapigia kura wagombea wa chama chako ngazi nyengine.
Kampeni zako na za wapinzani wako ndizo zilizoniongoza kufanya hivyo.
Najua machungu uliyonayo ni makubwa sana.Leo sina nia mbaya na wewe na nataraji mashabiki wako hawatonielewa vibaya.Ndio maana nakuletea salamu kutoka ndani ya moyo wangu.
Sababu inayonifanya nifikishe salamu zangu za dhati kwako ni kwa vile mimi ni mpenzi wa haki na nimegundua kuwa katika huu uchaguzi na nyengine kote hakuna haki.Napendelea mshindi lazima atokane na ukweli wa kura na matokeo ya kampeni pekee na si vyenginevyo.
Kwa mwaka huu yawezekana kura ulizopata sio aslimia kama ilivyotangazwa kutokana na sababu zozote zile.Hata hivyo uwe na uhakika kwamba hata haki kikamilifu ingetendeka basi uwezekano wa wewe kwamba ungekuwa mshindi ni mdogo.
Kubwa ambalo napenda ulielewe ni kuwa hizi chaguzi zina mikono kutoka mbali.Mshindi huamuliwa miongoni mwa wagombea kulingana na maslahi ya hiyo mikono.Yawezekana kutokana na uchanga wako katika siasa hukuyajua haya.
Kwa juhudi yako pekee na wafuasi wako haiwezekani kubadili hii hali.Hivyo baada ya huu uchaguzi unachokisema kiwe ni kwa kupima sana.
Nakushauri uwe mvumilivu na jifunze mengi kutoka kwa mgombea mwenzako;Seif Shariff Hamad.Ikiwezekana safiri ukutane naye.

Nani atamsikiliza!.Ndio maana nikamtaka asafiri akazungumze na Seif.
Nyinyi hamna jema mutakalomfanyia dkt.Slaa,mbali na kumuongezea machungu.
Ami u r among non nosensical nonsenses makers I ever came to read. These r real dead ideas in dead mind! Tz is decided upon by mikono ya mbali? U be such mikono ya mbali,mkoloni again! N u r satisfied! Zen dr.SLAA young in politics? U can b that unserious,if dr. z young then u yourself r nowhere in politics,ufai ata kuwaza siasa! This seems conclusive of your ideas since of campaign. U r pleased of bogous suggestion!
Binafsi sikukupigia wewe kura yangu ingawaje niliwapigia kura wagombea wa chama chako ngazi nyengine.
Kampeni zako na za wapinzani wako ndizo zilizoniongoza kufanya hivyo.
Najua machungu uliyonayo ni makubwa sana.Leo sina nia mbaya na wewe na nataraji mashabiki wako hawatonielewa vibaya.Ndio maana nakuletea salamu kutoka ndani ya moyo wangu.
Sababu inayonifanya nifikishe salamu zangu za dhati kwako ni kwa vile mimi ni mpenzi wa haki na nimegundua kuwa katika huu uchaguzi na nyengine kote hakuna haki.Napendelea mshindi lazima atokane na ukweli wa kura na matokeo ya kampeni pekee na si vyenginevyo.
Kwa mwaka huu yawezekana kura ulizopata sio aslimia kama ilivyotangazwa kutokana na sababu zozote zile.Hata hivyo uwe na uhakika kwamba hata haki kikamilifu ingetendeka basi uwezekano wa wewe kwamba ungekuwa mshindi ni mdogo.
Kubwa ambalo napenda ulielewe ni kuwa hizi chaguzi zina mikono kutoka mbali.Mshindi huamuliwa miongoni mwa wagombea kulingana na maslahi ya hiyo mikono.Yawezekana kutokana na uchanga wako katika siasa hukuyajua haya.
Kwa juhudi yako pekee na wafuasi wako haiwezekani kubadili hii hali.Hivyo baada ya huu uchaguzi unachokisema kiwe ni kwa kupima sana.
Nakushauri uwe mvumilivu na jifunze mengi kutoka kwa mgombea mwenzako;Seif Shariff Hamad.Ikiwezekana safiri ukutane naye.
Najuwa una hasira sana kutokana na kushindwa kwa dkt.Slaa.Juwa kwamba hasira zako hazitoweza kubadili mfumo uliopo..
Kama dkt.Slaa atakuwa na nafasi ya kuchagua mshauri hatopata kati yetu aliye bora kuliko mimi .Usikatae kwamba dkt Slaa hajakomaa kisiasa.Mengi aliyoyaona yamemshangaza sana na hakutarajia kuwa yangeweza kutokea.
Dkt.Slaa hajapata uchungu wa kushindwa au kudhulumiwa kuliko Seif.Dkt.Slaa hajawahi kula dona la jela na sijui iwapo anaweza kulila.Kuna mengi ya kujifunza kwa Seif.
Naweza kukubaliana na wewe jambo moja; ukweli kuwa kura za Dr. zilichakachuliwa. Hata hivyo unapaswa kuwa na picha kubwa aliyonayo Dr. Slaa, kuwa yeye na wapenzi wake hawalengi kushinda uchaguzi minajili ya kushinda mtihani bila kuwa na mahudhui na maarifa kichwani. Ndiyo Seif amekubali kuuza ushindi wake wa asilimia 52% ali atimiziwe kuwa makamu ya rais wa kwanza, Zanzibar kwa mujibu wa makubaliano yao na Karume. hii ni sawa na kusheheneza mafanikio binafsi ya kushinda mtihani bila kuwa na maudhui wala maarifa kichwani. Huu siyo ushindi unatakiwa na watanzania wala Dr. Slaa, maana kama ni kushinda au kupata cheo, tayari alishasema kuwa alibembelezwa kuhongwa cheo cha ubalozi pamoja na pesa (na Mkapa kupitia kwa Njoolai) akakataa. Aidha kila mtu anafahamu kuwa Seif alikuwa CCM, ila baadaye miaka ya mwisho ya 1980 alifukuzwa uanachama wa CCM na kunyang'anywa cheo chake cha Waziri Kiongozi. Muda wote, Seif amekuwa akililia kurudishiwa cheo hicho au kinachofanana na hicho, siyo picha kubwa na mabadiliko ya kisiasa/kisera na kiuchumi. Sasa amehakikishiwa cheo husika, hivyo hana sababu tena ya kug'ang'ania ushindi ambao anajua fika ana uwezo wa kuulinda kwa kuwa Zanzibar siyo dola, hivyo kutokuwa na jeshi la uhakika kulinda urais wake. Hali hii ni tofauti kabisa na Dr. Slaa na wafuasi wake wanaotaka Tanzania kufanyiwa mabadiliko makubwa katika mwelekeo wa kisera, kisiasa na kijamii na kiuchumi. Kutangazwa mshindi wa kiti cha urais bila kuwa na mamlaka ya kutosha kufanya maamuzi yanayotakiwa kubadilisha hali za wananchi na kuleta matumaini mapya ni kazi bure. Na huu sio mpango wa Dr. Slaa.Binafsi sikukupigia wewe kura yangu ingawaje niliwapigia kura wagombea wa chama chako ngazi nyengine.
Kampeni zako na za wapinzani wako ndizo zilizoniongoza kufanya hivyo.
Najua machungu uliyonayo ni makubwa sana.Leo sina nia mbaya na wewe na nataraji mashabiki wako hawatonielewa vibaya.Ndio maana nakuletea salamu kutoka ndani ya moyo wangu.
Sababu inayonifanya nifikishe salamu zangu za dhati kwako ni kwa vile mimi ni mpenzi wa haki na nimegundua kuwa katika huu uchaguzi na nyengine kote hakuna haki.Napendelea mshindi lazima atokane na ukweli wa kura na matokeo ya kampeni pekee na si vyenginevyo.
Kwa mwaka huu yawezekana kura ulizopata sio aslimia kama ilivyotangazwa kutokana na sababu zozote zile.Hata hivyo uwe na uhakika kwamba hata haki kikamilifu ingetendeka basi uwezekano wa wewe kwamba ungekuwa mshindi ni mdogo.
Kubwa ambalo napenda ulielewe ni kuwa hizi chaguzi zina mikono kutoka mbali.Mshindi huamuliwa miongoni mwa wagombea kulingana na maslahi ya hiyo mikono.Yawezekana kutokana na uchanga wako katika siasa hukuyajua haya.
Kwa juhudi yako pekee na wafuasi wako haiwezekani kubadili hii hali.Hivyo baada ya huu uchaguzi unachokisema kiwe ni kwa kupima sana.
Nakushauri uwe mvumilivu na jifunze mengi kutoka kwa mgombea mwenzako;Seif Shariff Hamad.Ikiwezekana safiri ukutane naye.
Binafsi sikukupigia wewe kura yangu ingawaje niliwapigia kura wagombea wa chama chako ngazi nyengine.
Kampeni zako na za wapinzani wako ndizo zilizoniongoza kufanya hivyo.
Najua machungu uliyonayo ni makubwa sana.Leo sina nia mbaya na wewe na nataraji mashabiki wako hawatonielewa vibaya.Ndio maana nakuletea salamu kutoka ndani ya moyo wangu.
Sababu inayonifanya nifikishe salamu zangu za dhati kwako ni kwa vile mimi ni mpenzi wa haki na nimegundua kuwa katika huu uchaguzi na nyengine kote hakuna haki.Napendelea mshindi lazima atokane na ukweli wa kura na matokeo ya kampeni pekee na si vyenginevyo.
Kwa mwaka huu yawezekana kura ulizopata sio aslimia kama ilivyotangazwa kutokana na sababu zozote zile.Hata hivyo uwe na uhakika kwamba hata haki kikamilifu ingetendeka basi uwezekano wa wewe kwamba ungekuwa mshindi ni mdogo.
Kubwa ambalo napenda ulielewe ni kuwa hizi chaguzi zina mikono kutoka mbali.Mshindi huamuliwa miongoni mwa wagombea kulingana na maslahi ya hiyo mikono.Yawezekana kutokana na uchanga wako katika siasa hukuyajua haya.
Kwa juhudi yako pekee na wafuasi wako haiwezekani kubadili hii hali.Hivyo baada ya huu uchaguzi unachokisema kiwe ni kwa kupima sana.
Nakushauri uwe mvumilivu na jifunze mengi kutoka kwa mgombea mwenzako;Seif Shariff Hamad.Ikiwezekana safiri ukutane naye.[/QUOTE
Ni kweli maana Tumeishaingiliwa na Free Mansons na Illuminant nchi kwetu, hamuwaoni viongozi wetu
na pete zao siku hizi hawajifichi.
kwa wale wasiojua free mansons fuatilia kwenye jamvi hili la wasomi imefafanuliwa kwa kirefu na hiyo ni dunia nzima, hivyo usipokuwa mmoja wao ni vigumu kupenya hadi ngome zao.